Mkuu pole sana nitafute kwa wakati wako ili nipate kumtibia maradhi yake apate kupona.Habari, Nina mtoto wa miaka 7 anatapika damu fresh. Tatizo hili limetokeza Kama siku 8 zilizopita.
Nimempeleka hospital kwa kutumia kipimo Cha kuingiza tumboni wamegundua ni vidonda vya tumbo.
Nimepewa dawa lakini naona Hali inajirudia.
Ninaomba ushauri zaidi wa dawa na vyakula vya kula.
Ahsanteni
0754856400 pole sana watafyte hao wapo kariakoo Sheikh Khalfan Madina Shifaa herbal dawa ya ulcers nzuri sana elfu 10 chupa utaleta ushuhuda.Habari, Nina mtoto wa miaka 7 anatapika damu fresh. Tatizo hili limetokeza Kama siku 8 zilizopita.
Nimempeleka hospital kwa kutumia kipimo Cha kuingiza tumboni wamegundua ni vidonda vya tumbo.
Nimepewa dawa lakini naona Hali inajirudia.
Ninaomba ushauri zaidi wa dawa na vyakula vya kula.
Ahsanteni
Watu wengine mna roho ngumu kweli. Mtoto miaka 7 anatapika damu wewe badala ya kumpeleka hospital unafungua thread! Watu wanarudi hospital hata mara kumi na kubadilisha dr na dawa ndiyo wanapona.Habari, Nina mtoto wa miaka 7 anatapika damu fresh. Tatizo hili limetokeza Kama siku 18 zilizopita.
Nimempeleka hospital ya Benjamini Mkapa . Kwa kutumia kipimo Cha kuingiza tumboni wamegundua ni vidonda vya tumbo (gastric ulcers).
GERD with LPR
Nimepewa dawa za anti acid, PPI's na anti allergy lakini naona Hali inajirudia.
Ninaomba ushauri zaidi wa dawa pia vyakula gani ni vizuri zaidi ambavyo havina asid. Ninashukuru kwa maoni na ushauri.
Ahsanteni
Jamani kashampeleka hapa anatafuta faraja...au kama kuna mtu ana experience na hiko kitu...Watu wengine mna roho ngumu kweli. Mtoto miaka 7 anatapika damu wewe badala ya kumpeleka hospital unafungua thread! Watu wanarudi hospital hata mara kumi na kubadilisha dr na dawa ndiyo wanapona.
Kasema alimpeleka mara moja. Eeeeuuphwww..Jamani kashampeleka hapa anatafuta faraja...au kama kuna mtu ana experience na hiko kitu...
Eeeeuuphwww....