Msaada: Mtoto kutapika damu, amepewa dawa ya vidonda vya tumbo lakini tatizo haliishi

DIFFENDA

Senior Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
124
Reaction score
53
Habari, Nina mtoto wa miaka 7 anatapika damu fresh. Tatizo hili limetokeza Kama siku 18 zilizopita.

Nimempeleka hospital ya Benjamini Mkapa . Kwa kutumia kipimo Cha kuingiza tumboni wamegundua ni vidonda vya tumbo (gastric ulcers).

GERD with LPR

Nimepewa dawa za anti acid, PPI's na anti allergy lakini naona Hali inajirudia.

Ninaomba ushauri zaidi wa dawa pia vyakula gani ni vizuri zaidi ambavyo havina asid. Ninashukuru kwa maoni na ushauri.

Ahsanteni
 
Habari, Nina mtoto wa miaka 7 anatapika damu fresh. Tatizo hili limetokeza Kama siku 8 zilizopita.

Nimempeleka hospital kwa kutumia kipimo Cha kuingiza tumboni wamegundua ni vidonda vya tumbo.

Nimepewa dawa lakini naona Hali inajirudia.

Ninaomba ushauri zaidi wa dawa na vyakula vya kula.

Ahsanteni
Mkuu pole sana nitafute kwa wakati wako ili nipate kumtibia maradhi yake apate kupona.
 
Wewe acha mbaambaa humu JF
Hii ni dharura ya kiwango cha juu sana
Mpeleke mtoto hospital kubwa hata kama ni saa nane ya usiku
 
Habari, Nina mtoto wa miaka 7 anatapika damu fresh. Tatizo hili limetokeza Kama siku 8 zilizopita.

Nimempeleka hospital kwa kutumia kipimo Cha kuingiza tumboni wamegundua ni vidonda vya tumbo.

Nimepewa dawa lakini naona Hali inajirudia.

Ninaomba ushauri zaidi wa dawa na vyakula vya kula.

Ahsanteni
0754856400 pole sana watafyte hao wapo kariakoo Sheikh Khalfan Madina Shifaa herbal dawa ya ulcers nzuri sana elfu 10 chupa utaleta ushuhuda.
 
Wewe acha mbaambaa humu JF
Hii ni dharura ya kiwango cha juu sana
Mpeleke mtoto hospital kubwa hata kama ni saa nane ya usiku
Sidhani Kama ninapkosea mkuu kuomba ushauri kwenye hili jukwaa kwa kuwa tayari nimempeleka hospital kubwa.
 
Alafu kwa huduma zetu za afya na hawa wahudumu na madokta wetu wapendwa sidhani kama ni vidonda vya tumbo,,usichoke endelea kutafuta uvumbuzi zaidi na zaidi,,,,Namtakia pole nyingi mtoto wetu.
 
Amina
 
Anaweza kupona, tatizo linakuja kwenye chakula.
Kuna vyakula ukila huku unapata tiba huwezi kupona vizuri.
 
Habari, Nina mtoto wa miaka 7 anatapika damu fresh. Tatizo hili limetokeza Kama siku 18 zilizopita.

Nimempeleka hospital ya Benjamini Mkapa . Kwa kutumia kipimo Cha kuingiza tumboni wamegundua ni vidonda vya tumbo (gastric ulcers).

GERD with LPR

Nimepewa dawa za anti acid, PPI's na anti allergy lakini naona Hali inajirudia.

Ninaomba ushauri zaidi wa dawa pia vyakula gani ni vizuri zaidi ambavyo havina asid. Ninashukuru kwa maoni na ushauri.

Ahsanteni
Watu wengine mna roho ngumu kweli. Mtoto miaka 7 anatapika damu wewe badala ya kumpeleka hospital unafungua thread! Watu wanarudi hospital hata mara kumi na kubadilisha dr na dawa ndiyo wanapona.
 
Jamani kashampeleka hapa anatafuta faraja...au kama kuna mtu ana experience na hiko kitu...
Eeeeuuphwww....
 
Aende hospital kubwa kwa check-up na tiba zaidi.
 
Back
Top Bottom