DIFFENDA
Senior Member
- Jun 23, 2013
- 124
- 53
Habari, Nina mtoto wa miaka 7 anatapika damu fresh. Tatizo hili limetokeza Kama siku 18 zilizopita.
Nimempeleka hospital ya Benjamini Mkapa . Kwa kutumia kipimo Cha kuingiza tumboni wamegundua ni vidonda vya tumbo (gastric ulcers).
GERD with LPR
Nimepewa dawa za anti acid, PPI's na anti allergy lakini naona Hali inajirudia.
Ninaomba ushauri zaidi wa dawa pia vyakula gani ni vizuri zaidi ambavyo havina asid. Ninashukuru kwa maoni na ushauri.
Ahsanteni