malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Wacha wasiwasi. Siyo lazima watoto wote watambae wakiwa na umri huo. Kna wengine wanaenda mpaka miezi 10. Na wengine hawatambai kabisa, wanajivuta kwa tumbo na wanaingia kwenye stage ya kusimama. Kama ukimwangalia anaonekana hana tatizo lolote basi usiwe na wasiwasi. Kama vipi mpeleke kwa dr amwangalie. Mimi wa kwangu mmoja hakutambaa kabisa bali aliingia kwenye stage ya kusimama moja kwa moja.Habar wakuu nimekuja kwenu kutaka mawazo bint yangu wa Umri miez 6.5 hatambai ukimuweka hata kujaribu kumove hamna...anakua kama anataka kujivuta hawezi kabisa kumove Wala kutambaa...nimekuja kwenu kutaka ushauri nin chakunya aweze kutambaa kumove nakusimama ....naaambiwa kuwa nawatu kwa umri wamiez sita alitakiwa awe ameanza kutambaa ...msaada wenu wakuu
hatambai ukimuweka hata kujaribu kumove hamna...anakua kama anataka kujivuta hawezi kabisa kumove Wala kutambaa
Mtoto wangu wa Kwanza hakutambaa kabisa.Habar wakuu nimekuja kwenu kutaka mawazo bint yangu wa Umri miez 6.5 hatambai ukimuweka hata kujaribu kumove hamna...anakua kama anataka kujivuta hawezi kabisa kumove Wala kutambaa...nimekuja kwenu kutaka ushauri nin chakunya aweze kutambaa kumove nakusimama ....naaambiwa kuwa nawatu kwa umri wamiez sita alitakiwa awe ameanza kutambaa ...msaada wenu wakuu
my son na mdogo wetu wa mwisho hawakutambaa kabisa.Namuwekea kitu anataka haswa ili ajisogeze kukifata? Hii ni afajisukuma na kuwa anapiva mweleka pole pole atafika.
Natumaini anaweza ku move na kujigeuza akiwa umemlaza. Kama sio basi kuna tatizo.
Je, anaweza kujaribu kujinyanyua anyanyuke labda kwa kusikiliza meza au kitu ili asimamie?
Kuhusu kutambaa na ukuaji, kila mtoto ana muda wake ila kuna kitu hisia za Mama sasa hapo ni kufikiria na kuchukua hatua.
Najua kuna watoto wanakuaga fasta hawatambai bali watakuja kusimamia na kutembea.
Mafupi yangu ni hayo.
Hee,una mtoto na unamshuhudia mdogo wako wa mwisho akitambaa!my son na mdogo wetu wa mwisho hawakutambaa kabisa.
Hivi ukizaa kichanga siku hiyohiyo kikaanza kusimama na kupiga mbio!!!!๐๐๐๐ Wee mwenyewe utatoka nduki!๐๐Habar wakuu nimekuja kwenu kutaka mawazo bint yangu wa Umri miez 6.5 hatambai ukimuweka hata kujaribu kumove hamna...anakua kama anataka kujivuta hawezi kabisa kumove Wala kutambaa...nimekuja kwenu kutaka ushauri nin chakunya aweze kutambaa kumove nakusimama ....naaambiwa kuwa nawatu kwa umri wamiez sita alitakiwa awe ameanza kutambaa ...msaada wenu wakuu
Kuchelewa hatua ni kawaida sometimes japo sio kwa wote mtoto wangu hakutambaa wala nini ila akaja akaanza kusimamia kwenye vitu mwisho tukaona anatembea mwaka mmoja na nusu๐๐ halafu alivoanza kutembea akawa akianguka anashindwa kuinuka mwisho akaona aaanze kutambaa tuHabar wakuu nimekuja kwenu kutaka mawazo bint yangu wa Umri miez 6.5 hatambai ukimuweka hata kujaribu kumove hamna...anakua kama anataka kujivuta hawezi kabisa kumove Wala kutambaa...nimekuja kwenu kutaka ushauri nin chakunya aweze kutambaa kumove nakusimama ....naaambiwa kuwa nawatu kwa umri wamiez sita alitakiwa awe ameanza kutambaa ...msaada wenu wakuu
Ukute uliendekeza mapenzi mwisho Dogo kalemaaa๐Usiwe na mawazo sana kweli ilibidi aanze kutambaa
Ingawa baadhi ya watoto wanapata delayed developmental milestone
Muhimu ni kujua kama ana shida yoyote alizaliwa nayo
Vinginevyo kua na subira sio mara zote ukuaji wa mtoto unaenda sawa na wengine
Siyo KweliUkute uliendekeza mapenzi mwisho Dogo kalemaaa๐