Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Hakuna kitu kama hicho acha upotoshajiUkute uliendekeza mapenzi mwisho Dogo kalemaaa[emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu kama hicho acha upotoshajiUkute uliendekeza mapenzi mwisho Dogo kalemaaa[emoji1]
Wafikie wataalam chief ilo litakua limeishaSiyo Kweli
Sawa SawaWafikie wataalam chief ilo litakua limeisha
Amezaliwa Hana shida yoyote Hadi Sasa Hana dalili ya shida yoyote Ile labda akachunguzweUsiwe na mawazo sana kweli ilibidi aanze kutambaa
Ingawa baadhi ya watoto wanapata delayed developmental milestone
Muhimu ni kujua kama ana shida yoyote alizaliwa nayo
Vinginevyo kua na subira sio mara zote ukuaji wa mtoto unaenda sawa na wengine
Wataalamu wepi haoSawa Sawa
Kabisa, mdogo wangu wa mwisho amezaliwa 1998.Hee,una mtoto na unamshuhudia mdogo wako wa mwisho akitambaa!
Hii ndo maana ya jungukuu halikosi ukoko basi uzi ufungweNamuwekea kitu anataka haswa ili ajisogeze kukifata? Hii ni afajisukuma na kuwa anapiva mweleka pole pole atafika.
Natumaini anaweza ku move na kujigeuza akiwa umemlaza. Kama sio basi kuna tatizo.
Je, anaweza kujaribu kujinyanyua anyanyuke labda kwa kusikiliza meza au kitu ili asimamie?
Kuhusu kutambaa na ukuaji, kila mtoto ana muda wake ila kuna kitu hisia za Mama sasa hapo ni kufikiria na kuchukua hatua.
Najua kuna watoto wanakuaga fasta hawatambai bali watakuja kusimamia na kutembea.
Mafupi yangu ni hayo.
Basi relax ni kawaida hio nmeona watoto wengi wenye delayed developmental milestone na wakaja ku catch vizuriAmezaliwa Hana shida yoyote Hadi Sasa Hana dalili ya shida yoyote Ile labda akachunguzwe
Naba kujua uyo mtoto mda mwingi hukamatwa kamatwa hawekwi chini wala kujituma
Ukuaji wa watoto hutokea kwa hatua mbalimbali. Hata hivyo kuna tofauti toka mtoto mmoja hadi mwingine, kuna ambao ukuaji huja pole pole na wengine haraka ktk umri fulani.Habari wakuu nimekuja kwenu kutaka mawazo bint yangu wa Umri miezi 6.5 hatambai ukimuweka hata kujaribu kumove hamna... anakua kama anataka kujivuta hawezi kabisa kumove Wala kutambaa. Nimekuja kwenu kutaka ushauri nini chakunya aweze kutambaa kumove na kusimama.
Naaambiwa kuwa na watu kwa umri wa miezi sita alitakiwa awe ameanza kutambaa, msaada wenu wakuu.