Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,460
- 4,761
Msaada jamani,
Je ni huduma gani ya kwanza ,aliopewa maziwa ,na chumvi akatapika mtoto huyu ana mwaka mmoja na miezi mitatu.
Kulikuwa na jenerator nje wanapump maji kwangu umeme wa TANESCO hujafika, ile wamejisahau kidogo akaenda chomoa ile pipe inayotoa petrol nakubwia .
Jamani nisaidieni anaweza pata side effect?
Nifanye nini sasa maana ametapika na sijui kama imekwisha humo tumboni .
Je ikiingia kwenye mishipa ya damu haiwezi leta madhara?
Any one had experience this niambieni woga imenitawala .
Nawasilisha wakuu wangu.
mzizimkavu riwa na wengine wote nisaidieni mwenzenu