chipalila1
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 259
- 32
- Thread starter
- #61
Mkuu nashukuru kwa sasa anatembea japo hajakaza sana, bado anapepesukaKama hana ulemavu bas nakushauri ujaribu ma tiba asili pia, kwan hll tatizo n dogo sana. Kama upo seriously nPM, tulimalize n baadh tu ya miti na mila asili mtoto atatembea in 2 Weeks tu. Trust me[emoji1621]