Msaada: Mtoto wangu wa kiume wa miezi saba haoneshi dalili ya kusimamisha uume

Mtoto wangu ana miezi Saba juzi mama yake amenambia hajawahi kumuona amesimamisha uume,
Ilinichanganya sana akili ilibidi nijipe muda nikakaa naye kama saa mbili hivi asubuhi kuanzia Saa 10 usiku mpaka kunakucha ni kweli mwanangu hakusimamisha😭😭😭😭

Nimejaribu kumpa dawa za kimasai lakini tatizo liko palepale.

Msaada mwenye kujua tiba ya tatizo hili.
Acha ujinga huyo bado mtoto mdogo... huu uzazi wa mwendo kasi utawatoa kibyongo.
 
Mtoto wangu ana miezi Saba juzi mama yake amenambia hajawahi kumuona amesimamisha uume,
Ilinichanganya sana akili ilibidi nijipe muda nikakaa naye kama saa mbili hivi asubuhi kuanzia Saa 10 usiku mpaka kunakucha ni kweli mwanangu hakusimamisha😭😭😭😭

Nimejaribu kumpa dawa za kimasai lakini tatizo liko palepale.

Msaada mwenye kujua tiba ya tatizo hili.
dah aisee miezi 7 tayari umempiga na madawa ya kimasai, sasa baada ya mwaka c utampa vumbi la kongo na viagra. Tulia kamwone daktari
 
Sasa badala ya kumpeleka hospital unampa dawa za kimasai ambazo hazina kiwango wala matumizi yake hujui
Unaweza kumuathiri Figo bure

Wengi wanaotumia madawa hayo ya wamasai bila vipimo mradi kunywa tu
 
Mtoto wangu ana miezi Saba juzi mama yake amenambia hajawahi kumuona amesimamisha uume,
Ilinichanganya sana akili ilibidi nijipe muda nikakaa naye kama saa mbili hivi asubuhi kuanzia Saa 10 usiku mpaka kunakucha ni kweli mwanangu hakusimamisha😭😭😭😭

Nimejaribu kumpa dawa za kimasai lakini tatizo liko palepale.

Msaada mwenye kujua tiba ya tatizo hili.
Mrudishe alipotoka
 
Nadhani kuna tatizo la fikra hapa kwa nyinyi wazazi,labda pia umri wenu .Mtoto wa miezi 7 hata kutembea bado.si uangalie viungo vingine kama viko sawa,mikono miguu,masikio,macho n.k wewe unakimbilia "kumsimisha uume" badala ya kumsimamisha miguu.

Unampa hizo dawa za kimasai akianza kusimamisha muda wote utajisikiaje na utamsaidiaje?

Halafu haya mambo ya kujaribu kuwatibu watoto wadogo kwa logic zako ulizoziokota huko mitandaoni badala ya kuwapeleka hospitali mtawaumiza na kuwaharibia future yao
 
Nina porn video kutoka kwa star mmoja hivi anaitwa Sarah banks ni ya Moto na ni HD akitizama usiku lazma adinde.

Pm iko wazi mkuu 🤣
 
Back
Top Bottom