The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Ndo maana ya kuolewa hiyoHabari wana Jamii,
Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.
Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.
Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.
Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.
Nawapenda nyote.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Shukuru mungu wenzako wanatumia dildo
🤣🤣🤣🤣 nimecheka balaaBinti wa 2001 una ndoa ya miaka 3?
nisamehe, ila nashindwa kuelewa
Tunakupenda piaNawapenda nyote
🤣🤣Aachane naye wapiPole sana, ongea naye mwambie vile unavyojisikia kwa kitendo cha yeye kukunyima muda wake wa kukaa muongee km marafiki.
Akileta ujuaji achana naye 😂😂😂
Mbona unafeli sana mwanamke mwenzangu...huyo ndo mwanaumeYaana katika maisha yangu sex sio kila kitu kwangu labda ndo sababu naumie hivu mume wangu kitandani yuko vizuri ila siyo romantic. Hii ndo inaniuma mimi
Appreciate hayo mazuri anayokufanyia atakama lipo Moja shikilia hilohilo appreciate huwez kupata vyote...Ni kweli ndo kinacho niuma nipe ways za kuishi nae nisiteseke
Wapo speed hao 🤣🤣🤣🤣🤣Binti wa 2001 una ndoa ya miaka 3?
nisamehe, ila nashindwa kuelewa
Maswali ya msingi sanaHufurahii sex na mumeo?
Au unafurahia ila imekuwa too much,?
huyu atakuwa mwongeje kama dada wa kikuu ndo mana jamaa hampi time ya kuongea mana anajua ni zaidi ya mbwiga.Hakupendi huyo 😂 au laaa ndo wale wapole, upole wa kuzubaa zubaa.
Real boyfriend/ husband lazima mpige story,, mixer ma umbea mbalimbali… tena akikuona umempa umbea wa uongo akusute 😀🤣
Pole sana madam kwa changamoto hiyo.Ntafanyia kazi ushauri wako ahsante sana
Uliolewa ili mumeo akukande kila anapojisikia ko kuwa mvumilivu hiyo ndiyo maana ya 'ndoa'Habari wana Jamii,