Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

Habari wana Jamii,

Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.

Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.

Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.

Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.

Nawapenda nyote.
Ndo maana ya kuolewa hiyo
 
Pole sana, ongea naye mwambie vile unavyojisikia kwa kitendo cha yeye kukunyima muda wake wa kukaa muongee km marafiki.
Akileta ujuaji achana naye 😂😂😂
 
Pole sana, ongea naye mwambie vile unavyojisikia kwa kitendo cha yeye kukunyima muda wake wa kukaa muongee km marafiki.
Akileta ujuaji achana naye 😂😂😂
🤣🤣Aachane naye wapi
Wakati ye hausigeli?
Avumilie kumbatwo daily hadi azeeke
Si mnataka mteremko
Vumilia mjegeje huo
Tena akirudi akukute uchi chumbani umeichanua😂ye ni kuchomeka tu
 
Niliwahi kuwa na x wa hivi jamani usikatize mbele yako kakudaka
Na energy yupo full
Kwa usiku mmoja ukimchekea anakukula hata vitatu vile vya dakika 40 40
Na alikuwa amejaaliwa Dhakari kubwa
mashalaah
Basi alikuwa ni kampa kampa tena anapenda sex vibaya sana
We dada ongea naye taratibu ila vinachoshaga sana usisahau kilainishi utaenjoy kidogo 😛
 
Hakupendi huyo 😂 au laaa ndo wale wapole, upole wa kuzubaa zubaa.

Real boyfriend/ husband lazima mpige story,, mixer ma umbea mbalimbali… tena akikuona umempa umbea wa uongo akusute 😀🤣
huyu atakuwa mwongeje kama dada wa kikuu ndo mana jamaa hampi time ya kuongea mana anajua ni zaidi ya mbwiga.
 
Habari wana Jamii,

Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.

Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.

Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.

Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.

Nawapenda nyote.
Uliolewa ili mumeo akukande kila anapojisikia ko kuwa mvumilivu hiyo ndiyo maana ya 'ndoa'
 
Back
Top Bottom