Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

Hapati furaha na amani ya kukaa na kuongea nawe; jaribu kuangalia vema jinsi unavyoongea naye kama mda mwingi una mbishia, mkaripia au unaongea kama cherehani hawezi kupata hamu ya kukaa kupiga story nawe.
Kwahyo badala yake kwa matendo hayo anapata hamu ya kusex???
 
Hyo ndoa ina muda gani?? Ndoa ikiwa mpya na sisi tulipekewa moto ila kwa sasa akiwaza ada sijui bills hamu inakata...so vumilia tuu..ila mwanzoni mbona hata ww unakua unatamani tuu au vipi weye bibie??
 
Hapati furaha na amani ya kukaa na kuongea nawe; jaribu kuangalia vema jinsi unavyoongea naye kama mda mwingi una mbishia, mkaripia au unaongea kama cherehani hawezi kupata hamu ya kukaa kupiga story nawe.
 
Angekuwa anakupa attention halafu hakuchakati au hakupi hela napo ungelamika, unataka upate vyote umekuwa nani? Wanawake hamjui mnachokitaka.
 
Sex tu ndo mpango mzima🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…