Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wewe muda wa kukaa wa nini? Wenzako wanakaa mpaka kunaota kutu. Shukuru umepata roboti.Habari wana Jamii,
Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.
Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.
Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.
Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.
Nawapenda nyote.
Shangazi anko nae anataka ubuyuuu?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haki mm nisipompa ubuyu Koo linawasha nae utasikia nipe huo ubuyu basi [emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo vipi wewe mtoto mzuriHakupendi huyo [emoji23] au laaa ndo wale wapole, upole wa kuzubaa zubaa.
Real boyfriend/ husband lazima mpige story,, mixer ma umbea mbalimbali⦠tena akikuona umempa umbea wa uongo akusute [emoji3][emoji1787]
Poa, habari ya weweMambo vipi wewe mtoto mzuri
Tatizo umri.... 22 kwa 35 ni parefuPasua kichwa sana wanawake wa hivi.
Ila mi nashukuru mahitaji yangu yako so straight to my man.
Nimenyooka kama rula.
hiki sitaki na sitafanya.
hiki nataka na ninakitaka
hiki hutapata
Nzuri ni kufurahia tu weekendPoa, habari ya wewe
Hapo kazi kuu ni mkunyenge na WEWE,WEWE na mkunyenge mengine ni ziadaHabari wana Jamii,
Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.
Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.
Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.
Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.
Nawapenda nyote.
ukweli hiki kitu baba watoto wangu ndio ananipendea kijishusha ila sio kila ugomv najishusha mwengine tunaenda sawa nikishajua nimemkera baadae huko ndio najishusha ila ntamwambiabalichokifanya sjapenda maisha yanaendeleaHapo pa mwanamke awe na lugha tamu hata akikasirika wengi wana feli. Kuna mwanamke anakua na loudest voice in the room akiwa amekasirika, hakua kitu utamwambia.
Binafsi hapa ndo naweka Mkasi/Tick kwa mwanamke wa kuishi nae. Haiwezekani hata kama nimekukosea huwezi nitukana, Huwezi Nidharau wala kuleta jeuri you are my woman and i am your man.
Kuna akili na akili kwa hili,tafuta mfanyakazi wa ndani mzuri kiasi au binamu yako mgawane hiyo dozi,utachakaa Sana usipokuwa makiniHabari wana Jamii,
Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.
Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.
Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.
Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.
Nawapenda nyote.
Machangudoa Wana nafasi kubwa kupunguza pressureAlafu kuna mambwiga wanawazuia machangudoa., Namna hii kweli?