Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

Hakupendi huyo 😂 au laaa ndo wale wapole, upole wa kuzubaa zubaa.

Real boyfriend/ husband lazima mpige story,, mixer ma umbea mbalimbali… tena akikuona umempa umbea wa uongo akusute 😀🤣
Maumbea umbea ni huku bongo tu japo sio wote, wenzetu waarabu na wazungu hawanaga hayo ya umbea umbea
 
Eh msipo pewa mna lalamika, mkipewa bado mna lalamika.
Mbona hauja lalamika kwamba mumeo ana kupa sanaa Matunzo akupe muda uhangaike mwenyewe yaani asikupe matunzo hata kwa mwezi mmoja hivi ili apumzike yeye. ?!
 
Huna Msaada mwingine kwake zaidi ya hiyo sex ndio maana akija kwako ni hivyo tu. Karibu kujiangalia kutakuwa kuna sehemu haupo sawa.
 
Una spiritual husband
 
Swala lako kulitatua ni la kiroho zaidi
 
Hivi kwanini hutaki kufsnya sex mumeo ukimnyima tu ninakuhakikishia anatafuta mchepuko na nyie ndiyo vyanzo vya kuleta mipasuko kwenye ndoa yenu na kusababisha watoto wa nje na mpaka kupelekea watoto wa mtaani waliokosa malezi ya wazazi baada ya mpasuko ndani ya ndoa, hamjui tu ila mnaletaga shida kubwa snaa kwenye jamii, mke asietoa unyumba ni wa kufukuza
 
Hakupendi huyo 😂 au laaa ndo wale wapole, upole wa kuzubaa zubaa.

Real boyfriend/ husband lazima mpige story,, mixer ma umbea mbalimbali… tena akikuona umempa umbea wa uongo akusute 😀🤣
Ngoja ampate anaepiga nae umbea halafu hawezi npelekea Moto vzr atarud tena hapa
 
wenzio wantafuta wanaume wa nama hiyo wakupelekea moto mbususus kila muda wewe walalamika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…