Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

Akiwa mzembe kitandani unachepuka akiwa yupo fit kama ivo bado unaona kero
Kweli wanawake hamjui mnapenda nini
 
LOVE LANGUAGE YAKO MUMEO HAJAIJUA BADO.

Kuna kitu ambacho ukifanyiwa basi wewe ndio unahisi unapendwa,sasa hiko kitu mumeo hajakijua ama hakifanyi.
 
Mtafutiae house keeper mashallah deal litatiki
 
Naona ulichukua maamuzi magumu ndo maana ukatafuta JF
 
Namuomba mie huyo mumeo, atanifaa sana wallah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka awe rafiki ako? Mwsho awe shost ako, Lol
Yaan, inapaswa Stori kidogo show show

Bhaasi, haya mambo yakukaa mnawasema majirani mara story za kina mwijaku
 
Haopendezi kunyimana hata Mungu hataki kuona mwanandoa kumnyima mwenza wake, mpeane si mmepewa bure unabanabana nini
 
unampunja tatizo we mpe nying akichoka mwambie mie bado mpe hat vi 5 kesho ukimuona tena mpe mwenyewe yan ad akinai ajaknai cz wanawak wengne sex za kuvutan vutana plus uviv iv ukai vle utak we mfungie kaz awez shindan na alipotoka ukimkaziq wik tu mwenyew atakua anabadil story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…