Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

Inaonekana mtoa mada ni pisi kali
Kama ulishawahi kumiliki pisi ya kwenda
Basi lazima utake kuuwasha moto kila mda
Nadhani hicho ndicho kinamtokea huyo jamaa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app



Kwani wanaume wengi wanajali hilo?

Ingekuwa hivyo wasingekuwa wanawala vichaa ambao hata kuoga hawaogi wala kuchamba sababu ya kuumwa akili.

Vichaa wanawake wanaliwa na kutiwa mimba na wanaume timamu kabisa.

Sasa hapo utasema pisikali ina apply?
 
Hapo lipo Jambo. Wewe umepoteza hisia na mumeo ama yupo mwanaume unaemfeel zaidi ya mumeo. Ksbb sidhani kama akikuomba mkasex,mkimaliza anarudia tena haraka. Mkimaliza si ndio mnaendelea na story. Ksbb umemuelewa basi akihitaji usichukue,wewe mpe kwa Uhuru tu. Hiyo ili uwe na uterezi, vinginevyo ukiwa umechukia unapoingia kwenye sex huwezi kupata uterezi utaumizwa.
Binadamu wametofautiana. Yupo jamaa yangu mmoja mke wake anataka kila wakati. Yaani anampigia simu hata akiwa kazini anaomba arudi amgonge hata kimoja. Na akifika tu akimgusa tayari yuko wet. Na wakikaa anataka amgonge mara 2 hivi.
 
Bado mpya wewe acha atafune hadi hamu imuishe utaona tu yy mwenyewe ataanza kukupigisha story..
 
Safi sana hiyo ni neema kuna wengi wanatamani hivyo sema kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo magonjwa wanashindwa kuenjoy
 
Inaonekana mtoa mada ni pisi kali
Kama ulishawahi kumiliki pisi ya kwenda
Basi lazima utake kuuwasha moto kila mda
Nadhani hicho ndicho kinamtokea huyo jamaa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Huenda ikawa kweli ama laah.

Hii hali ipo, ila nazani umri unachangia.

Mtoa mada anaparamiana yeye na mumewe wanaruka kanuni.

Ushauri.
1. Sali na mumeo kwa ajili ya tendo.
2. Andaa mazingira kabla ya tendo
3. Miili iwe safi kwa tukio

NB: Mpe mumeo, au mruhusu akapate soulmate wake wewe sio.
 
Dunia kwakwer ya moto
 
Huenda anamawazo sana 😂😂
 
Hapo pa mwanamke awe na lugha tamu hata akikasirika wengi wana feli. Kuna mwanamke anakua na loudest voice in the room akiwa amekasirika, hakua kitu utamwambia.

Binafsi hapa ndo naweka Mkasi/Tick kwa mwanamke wa kuishi nae. Haiwezekani hata kama nimekukosea huwezi nitukana, Huwezi Nidharau wala kuleta jeuri you are my woman and i am your man.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…