Fallback
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 3,686
- 6,958
Leejay49 baby hii ni kweli?Kila kitu lazima kiwe na kiasi
Nafikifiri umemuelewa mtoa mada
- Unapokula chakula lazima uwe na kiasi ukizidisha inakuwa dhambi yaani ulafi. Ulafi unakubalika?
- Tendo la ndoa lazima liwe na kiasi, likizidi inakuwa siyo tendo la ndoa tena bali ni chukizo na ni dhambi.