rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Hataki kabisaa anataka story tuu..Sijakuelewa hutaki kugongwa na mumeo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hataki kabisaa anataka story tuu..Sijakuelewa hutaki kugongwa na mumeo?
Hapo ndo nashindwa kumuelewaaa.. Yani kuongea ba mkeo huwa inakuja very automatic labda kama jamaa hashindi nyumbani anarudi saa 8 za usiku.. maana unaweza kuwa unaangalia video mnaongea.. ukishapiga chako wanawake wengi ndo huanza kuleta story paleee hapo utaombwaa helaa kama sio mahitaji[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] labda hizo story jamaa anazikwepa sanaaOngea wakati wa mapumziko ya bao hapohapo kitandani au unataka hadi mtandike jamvi mpige umbea siku nzima.
Jukumu la mume ni kumtunza mke na familia jambo ambalo umesema anafanya.Habari wana Jamii,
Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.
Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.
Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.
Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.
Nawapenda nyote.
[emoji16][emoji16][emoji16]Hapati furaha na amani ya kukaa na kuongea nawe; jaribu kuangalia vema jinsi unavyoongea naye kama mda mwingi una mbishia, mkaripia au unaongea kama cherehani hawezi kupata hamu ya kukaa kupiga story nawe.
[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji106]Unataka ushirikiano upi? Kwani kitendo Cha kukuingizia sio ushirikiano huo?
Ahahaaaaa....! JfSijakuelewa hutaki kugongwa na mumeo?
AiseeeeeeeUliolewa ili iweje km hautaki kusex na mumeo?
Upewe Sanam LakoWakati wa uchumba hali ilikuwa hivi pia?
Nawe wako akizingua piga chiniMuache unafiki kuvunja mahusiano yake ukute ashapata kijiwe kidogo apo anatujaza maneno
Namie natafuta wa kupiga nae story😁Mabaharia tushakuelewa mama, acha tufanyie kazi malalamiko yako...
Watanzania wengi wanaishi sogea tuishi, ndoa zimekuwa adimu sikuhizi.Kitu kingine kinachofanya haya yawakute nyie wadada... ni kujitia walokole wa maisha.
Hamtaki boyfriend mpaka muolewe,hamtaki mchumba wala nini,
Sikieni nyie mapenzi ya direct to ndoa Miyeyusho.. anza kuwa na mpenzi wako mkae hata mamiaka kwenye uhusiano wenu mtengeneze bond kisha ndio muoane.
Sema wadada mlivyo washamba mnataka mnatongozwa leo,kesho mtu anatuma ndugu walete posa kwenu,ndani ya mwezi taratbu za ndoa zimeisha..NDOA hii hapa.
hivi kwenye ndoa mtaongea nini? acha utombeke tu mtoto aje atleast tupate kitu cha kutu bondisha,hamna any attachment kwenye maisha yenu.