Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

Huenda ni ndoa mpya na mume bila shaka ni mtu ambaye yupo busy sana.Mume anaonekana ni selfish sana mtu asiyejali kuhusu hisia za mwingine kama yupo kwenye mood ama laa.kwenye ndoa Kuna vitu vingi Ambavyo ni tofauti na kwenye tamthilia zinazoelezea mambo ya ndoa.ukisikia wanatangaza zile semina za wanandoa au clip zinaelezea hizo habari mshauri alipie muende.jaribu kuhudhuria kwenye social event mbali mbali kama wedding,outing kwenye Maeneo ambayo atakutoa out mara moja moja anaweza kubadilika taratibu.usipomweleza kuwa hufurahishwi na jambo fulani no way anaweza akafahamu,Kwa hiyo ni vyema umwambie Nina mazungumzo na wewe,hata sex inatakiwa iwe na utaratibu na ratiba maalumu.
Yaaani,mtu mzima,umeamua kuishi maisha yako,tena ukalipie kujazwa ujinga?
 
Back
Top Bottom