Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

Kumbe hutaki kusex Mara kwa Mara.
Tafuta house gel akusaidie kazi za hapo nyumbani.
Tatizo litaisha na kamwe hutaona mumeo akikuomba k. Ni wewe ndio utakua na kazi ya kumfanya akutamani lkn it will be too late.
Na Kama hili tatizo umewaambia mashosti ujue umeumia.
 
Tumia muda ule ukiwa umejipimia huku unanyumbulika kwa maringo anza kuzungumza na mmeo atakujjbu kila unachomsemesha, tumia ubunifu na udhaifu wake kupenyeza hoja zako. Udhaifu wake upo kwenye sex, kifupi tumia mbinu za DELILAH na wewe, yaani kama hujui mautundu, nataman sijui nikufanyeje jaman
 
Back
Top Bottom