Msaada: Mwanamke anataka kuachwa, ana mimba na ashatolewa mahari


Uzuri penye wengi hakiharibiki kitu. Niwatakie heri
 
Sasa alijitambulisha ili iweje ikiwa anae anaempenda aisee sisi wanawake kwenye suala la kupata wachumba ambao tunapendana ni changamoto
 
Sasa alijitambulisha ili iweje ikiwa anae anaempenda aisee sisi wanawake kwenye suala la kupata wachumba ambao tunapendana ni changamoto
Mi nahisi alijitambulisha kwa kuona tyari binti ameshapata mimba na katoloka kwao kaja kwake ghafla kuishi....akawa hana jinsi
 
SuperHb Usishangae hapa Bongo, unayempenda naye ana mtu wake anayempenda.

Dogo lako ni lipuuzi tu.

Nauliza haya

Mpaka anamleta binti kwenu abarikiwe, alikua hajui ana mtu yuko masomoni?????

Ilikua ni gia ya mtoto wa watu kunkubalia???

Kwann hakutukia kondomu???

Alafu saizi, Mnataka kumfadhaisha binti wa watu mwenye ujauzito??????.

Pumbavu zake Dogo .

Nawewe Kaka mtu unacheka cheka????

Mimba ina umri gan??? Ili kama kutoa akatoe

Mnapenda kuwa na watoto lakini mnakimbia kuwajibika kwa kisingizio cha kijinga.
 
Sio mdogo wako ni wewe mwenyewe

Sasa sikia ni lazima ulogwe huwezi kuchezea maisha ya mwenzako kijinga namna hiyo jiandae

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Huyu ni wakulogwaa ,mbooo isikae kusimama kamwe

Alafu awe mtu wa mikosi yaaan Hela zimpige chenga kama anayotaka kumpiga chenga binti wa watu.


Kuna mtalaaamu mmoja yuko kanda ya ziwaa, ni mbwaaaaa kwa haya mambo


Kwanza yeye mbaya wako unauona kwenye TV yake ya Asili.

Na jinsi huyo mbaya alivyokua akikufanyia ubaya.

Baada ya hapo..anakuuliza nimfanye nn??
 
iyo mimba wamuamishie uyo mdogo wako then ndo amfukuze..akishindwa basi chapeni viboko na mimba ailee
 
Kwa kifupi tuu ushauli wangu

1.kama mimba ina miezi miwili itolewee

2.baada zoezi la mimba kukamilika mavunje mahusiano amuache binti aendelee na maisha yake

3.natumai binti baada ya muda atakuja kupata mwanaume mwenye hadhii na pesa zake

4.natumai huyo binti akifikia hiyo stage ya kukamata pesa familia yenu imuandae dogo wenu kisaikolojia
 
Hakuna karma
Mwambie dogo huyo anayempenda kutoka rohoni nae ana mwenzake pia anayempenda kutoka rohoni mwake. ..

Ataandaa harusi, siku ya kufunga ndoa haonekani. Atalia na kusaga meno..

Karma huwa haichelewi.
 
Nipe namba zake, kuna mtu kaniibia vyeti kmmmk nataka nimshughulikie kimya kimya
 
Huyo mdogo wako sidhani kama yupo tayari kuoa.Ndoa inahitaji 'emotional stability' ambayo dogo bado hajapata,kwa ufupi hajui anataka nini.Hata huyu anaedai anampenda atamzingua.Najiuliza ilikuwaje wazazi wa msichana mwenye umri wa miaka 22 wamwachie binti yao akae na mwanamme kisa ahadi ya ndoa!ndoa sio ahadi.
Ilikuleta amani,mrudisheni bint mwenye mimba kwao,mkaombe msamaha,msitake mrudishiwe mahari na umshurutishe mdogo ako apambane na majukumu ya kulea kiumbe kijacho ila msilazimishe amuoe kama hataki,utaleta matatizo mengine.Na hizo story za kuwa huyo mwanamke anaempenda yupo tayri waolewe wote au alee mtoto wa mwenzake,achana nazo kwa sasa.Ni maongezi na porojo tu,uhalisia wake ni mgumu sana.
 
Hahaha gari ningemsamehe ila degree nimeilipia zaidi ya million 10
Hiyo karatasi ya Degree imekufanyia nini? Gari limekusafirisha kwenda kwenye madili ya maana, umekula sana watoto wa watu kupitia hilo gari.. Imekupandishia hadhi kidogo...... Achana na karatasi wewe...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…