SuperHb
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 911
- 751
- Thread starter
- #41
Wa
zazi waHuyo mdogo wako sidhani kama yupo tayari kuoa.Ndoa inahitaji 'emotional stability' ambayo dogo bado hajapata,kwa ufupi hajui anataka nini.Hata huyu anaedai anampenda atamzingua.Najiuliza ilikuwaje wazazi wa msichana mwenye umri wa miaka 22 wamwachie binti yao akae na mwanamme kisa ahadi ya ndoa!ndoa sio ahadi.
Ilikuleta amani,mrudisheni bint mwenye mimba kwao,mkaombe msamaha,msitake mrudishiwe mahari na umshurutishe mdogo ako apambane na majukumu ya kulea kiumbe kijacho ila msilazimishe amuoe kama hataki,utaleta matatizo mengine.Na hizo story za kuwa huyo mwanamke anaempenda yupo tayri waolewe wote au alee mtoto wa mwenzake,achana nazo kwa sasa.Ni maongezi na porojo tu,uhalisia wake ni mgumu sana.
Mimba ina miezi 2SuperHb Usishangae hapa Bongo, unayempenda naye ana mtu wake anayempenda.
Dogo lako ni lipuuzi tu.
Nauliza haya
Mpaka anamleta binti kwenu abarikiwe, alikua hajui ana mtu yuko masomoni?????
Ilikua ni gia ya mtoto wa watu kunkubalia???
Kwann hakutukia kondomu???
Alafu saizi, Mnataka kumfadhaisha binti wa watu mwenye ujauzito??????.
Pumbavu zake Dogo .
Nawewe Kaka mtu unacheka cheka????
Mimba ina umri gan??? Ili kama kutoa akatoe
Mnapenda kuwa na watoto lakini mnakimbia kuwajibika kwa kisingizio cha kijinga.