Msaada: Mwanamke anataka kuachwa, ana mimba na ashatolewa mahari

Wa
zazi wa
Mimba ina miezi 2
 
Another single mother in TOWN.

#YNWA
 
Familia ya binti bado haijapokea mahari,,ilisema tusubiri mpaka wawasiliane na wazazi wake,,,,maana alilelewa na Bibi yake,,,,MAHARI HAIJAPELEKWA
 
Mwambie huyo mdogo wako aache ujinga...

Malipo ni hapa hapa duniani...
 
Hiyo karatasi ya Degree imekufanyia nini? Gari limekusafirisha kwenda kwenye madili ya maana, umekula sana watoto wa watu kupitia hilo gari.. Imekupandishia hadhi kidogo...... Achana na karatasi wewe...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo karatasi ya Degree imekufanyia nini? Gari limekusafirisha kwenda kwenye madili ya maana, umekula sana watoto wa watu kupitia hilo gari.. Imekupandishia hadhi kidogo...... Achana na karatasi wewe...😂😂😂😂
😅😅😅😅😅 kweli inabidi niache ujinga niwe kama nyuki
 
Jamani huyu Alie tiari kulea mtoto wa mwenzie hapewe ulinzi
 
Hapo anaetaka kuacha ni mwanaume,huyo mdogoako. Na hapo ni baada ya kula mpususu wa mwenzie ameuchoka,anatamani mwingine. Huyo mwanamke sio kweli kwamba katamka hamtaki mdogoako,hapo mdogoako amesingizia ili apate njia ya kumtema huyo mwanamke. Angalizo mdogoako bado ujana unamsumbua. Hata huyo alie masomoni akija kumuoa atamuacha punde.
 
Amini tatizo liko kwa mdogoako. Bado ujana unamsumbua. Anataka ale hiki na kile. Ukiwauliza vizuri utagundua hili. Hivyo suruhisho,mwambie tu mdogoako wazuri hawaishi. Aendelee tu kuvumilia na huyo mwenye mtoto wake tumboni. Hakuna jinsi hapo maji yalishamwagika
 
Sielewi yani maana vingine vipo hapa home! Last time naenda interview ilikuwa TPB pale ndipo tulitakiwa kuvitumia. Sasa juzi pia nilikuwa na kazi navyo ndio nashangaa havipo
Mungu wangu sasa si wamekulostisha mwana?[emoji849][emoji849][emoji1745][emoji1745][emoji22]

Kubabbk nenda kigoma mtu atembee na k usoni

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Idadi ya single mother imeshaongezeka tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…