Msaada: Mwanamke niliyezaa naye alienda kwao baada tu ya kujifungua, hataki nimuone mtoto

Pole sana huenda anajua kuwa huyo Mtoto siyo wa kwako ndiyo maana anafanya hivyo kama umeenda kwao wanakuzungusha achana nao.
 
mtoto mwarabu huyo
 
wote mlikuwa MAKAHABA............achana nae.....si ushavuta pisi ingine....."eti umezaa nae" ulibeba mimba wewe??? kwanini ulizaa nae....zaa peke yako......
 
wote mlikuwa MAKAHABA............achana nae.....si ushavuta pisi ingine....."eti umezaa nae" ulibeba mimba wewe??? kwanini ulizaa nae....zaa peke yako......
Tuliza wenge mkuu. Wewe mtoto mdogo unajua matokeo ya mwanamke kuzaa ni kati ya mwanamke na mwanaume?
 
Acha kung’ang’ania watu wa wengine
 
Mkuu habari,,Hilo swala lako ni dogo Sana,,,

Kwanza inaonekana hiyo mimba si yako ni ya mwanaume mwingine ndio maana baada ya kujifungua hataki kuishi na wew ili kuzuia mtoto asibemendwe na sperm za mwanaume mwingine ambaye ndio wew.
Mtoto anabemendwa vipi na sperms za jamaa?

Jibu kama msomi [emoji848]
 
Pole sana mrejesho!
 
Mkuu habari,,Hilo swala lako ni dogo Sana,,,

Kwanza inaonekana hiyo mimba si yako ni ya mwanaume mwingine ndio maana baada ya kujifungua hataki kuishi na wew ili kuzuia mtoto asibemendwe na sperm za mwanaume mwingine ambaye ndio wew.
Naam
 
Kuna uwezekano mkubwa mama mtoto wako hakua na uhakika juu ya mmilik wa ujauzito ndo maana mlikaa wote katika kipind cha ujauzito.Inaonekana baada ya kujifungua amegundua mtoto sio wako na ndo maana halalamiki kuhusu matunzo.
Naam
 
Kuna mawili,Hutoi hela ya matunzo ya mtoto na mama au Mtoto sio wako.

Chagua moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…