Nakazia kwenye hii, kila sku umpake olive oil. Mafuta ya nyonyo, epuka kumshika ukitoka kwenye mihangaiko. OGA kwanza. Mpeni lishe safi, maziwa ya ng'ombe ninmuhim, azingatie ratiba ya menu za mtoto kila siku. Amuwekee michezo mbalimbali lkn pia jiunge na hii app jisajili. Uwe unapata weekly update na uzizingatie. Ni kama kipimio Cha watoto wore wenye age hiyo.
BabyCenter | The Most Accurate & Trustworthy Pregnancy & Parenting Information
Mwisho kabisa namuombea moto wetu kwa Allah ampe makuzi mema amiin