Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 940
- 401
- Thread starter
-
- #41
Amiiin amiiin, Allah akulipe kheirNakazia kwenye hii, kila sku umpake olive oil. Mafuta ya nyonyo, epuka kumshika ukitoka kwenye mihangaiko. OGA kwanza. Mpeni lishe safi, maziwa ya ng'ombe ninmuhim, azingatie ratiba ya menu za mtoto kila siku. Amuwekee michezo mbalimbali lkn pia jiunge na hii app jisajili. Uwe unapata weekly update na uzizingatie. Ni kama kipimio Cha watoto wore wenye age hiyo. BabyCenter | The Most Accurate & Trustworthy Pregnancy & Parenting Information
Mwisho kabisa namuombea moto wetu kwa Allah ampe makuzi mema amiin
Hapa unachemsha pamoja ndio umfukize au?tafuta wabibi wa kihaya wanakuwaga na dawa nzuri sana yaani ni chap atatembea, ila pia tafuta mavi ya tembo changanya na vitunguu swaumu mfukize atapona degedege
Hana maziwa ya kutosha kwa sababu ya ugonjwa au Lishe? Maziwa ya mama ni chakula muhimu sana kwa ukuaji wa ubongo wa mtoto!Anapata lishe mkuu, ila mama yake hanamaziwa yakutosha pia.
Pole sana mkuu, ndio duniaWangu ana miaka miwili now hatembei ni anasimamia vitu tu.. alipata degedege pia na alipata shida wakat kazaliwa… nimewaza sana, mazoez anafanya lakini bado… imebaki kumuombea tu
Hakika atatembea kwa Jina la Yesu, na si kutmabaa tu; 90+Habari ya muda huu.
Mwanangu wa miezi 12 hajanza kutambaa, naombeni ushauri wenu ila alichelewa kulia wakati wakuzaliwa lakini pia degedege huwa inamsumbua.
Naombeni ushauri wenu namna ya kumsaidia inaniuma saana ndugu zangu.😭😭😭