Ana umri gani?? Piga picha chap na haraka nikuandikie dawa hapaHabari Wana JF
Naomba msaada Mwanangu anatokwa na vipele vingi sana na vinazidi kuenea mwili mzima (vidogo vidogo) mpaka anakuwa mwekundu kwa kujikuna mara kwa mara.
Nilienda pharmacy walinipa Calamine lotion nikawa nampaka lakini bado ,nilienda hospital walimpima mchafuko wa damu , lakini damu iko safi na walinipa silverex ambayo nimetumia kwa wiki sasa lakini bado pia.
Naomba msaada
Kwan unapoishi hakuna hospital? Afya ya mtu hasa mtoto mdogo ni kitu sensitive sana lazima uonane na wataalum sehemu sahihi, sasa ww ngoja upewe matangori pori humu ndani ukamlishe dogo kesho uje na Uzi mwingine wa kuomba msaadaHabari Wana JF
Naomba msaada Mwanangu anatokwa na vipele vingi sana na vinazidi kuenea mwili mzima (vidogo vidogo) mpaka anakuwa mwekundu kwa kujikuna mara kwa mara.
Nilienda pharmacy walinipa Calamine lotion nikawa nampaka lakini bado ,nilienda hospital walimpima mchafuko wa damu , lakini damu iko safi na walinipa silverex ambayo nimetumia kwa wiki sasa lakini bado pia.
Naomba msaada
DR Mambo JamboHabari Wana JF

Kaomba msaada then kakimbia!!Picha
Huo ugonjwa anaousemea (kama ndo wenyewe ndo maana nkaomba picha) ni popular nowadays!! This week nimeattend watoto zaidi ya 16 wakiwa na ugonjwa wa hivyo hivyo yaani scabies infestations!! Trust me akija na picha utaona.Kwan unapoishi hakuna hospital? Afya ya mtu hasa mtoto mdogo ni kitu sensitive sana lazima uonane na wataalum sehemu sahihi, sasa ww ngoja upewe matangori pori humu ndani ukamlishe dogo kesho uje na Uzi mwingine wa kuomba msaada
Katika maelezo ya mtoa mada ni kitu gani kimekufanya uhisi ni scabies?Huo ugonjwa anaousemea (kama ndo wenyewe ndo maana nkaomba picha) ni popular nowadays!! This week nimeattend watoto zaidi ya 16 wakiwa na ugonjwa wa hivyo hivyo yaani scabies infestations!! Trust me akija na picha utaona.
Yeah Kwa sasa watoto 70% wanaugua scabies Nimeona hicho kitu pia na wenginni chini ya Miaka 3Huo ugonjwa anaousemea (kama ndo wenyewe ndo maana nkaomba picha) ni popular nowadays!! This week nimeattend watoto zaidi ya 16 wakiwa na ugonjwa wa hivyo hivyo yaani scabies infestations!! Trust me akija na picha utaona.
EPidemiologically number ya scabies imeongezeka sana Tanzania..Katika maelezo ya mtoa mada ni kitu gani kimekufanya uhisi ni scabies?
Vidonda vyekunduKatika maelezo ya mtoa mada ni kitu gani kimekufanya uhisi ni scabies?
Mpaka mwaka mmoja zinawashambulia saana sema BBE na sabuni ya permed ndani ya siku tatu yamekauka.Yeah Kwa sasa watoto 70% wanaugua scabies Nimeona hicho kitu pia na wenginni chini ya Miaka 3
Labda baada ya Bima kwa wote!! Mambo mengine muwe mnaangalia mazingira. Udaktari sio kukalili.Watu wanafanya shortcut mpeleke kwa dermatologist au GP yoyote.
Hapa utaishia kuingia kwenye chances kubwa za kufanya incomplete therapy.
Huko utaulizwa family history , mazingira unayokaa , aina ya vitu mtoto anayotumia(mafuta au manukato yoyote) watachukua sampuli sahihi kujua tatizo na utapata utatuzi sahihi zaidi.
Hizi ndio sifa za scabies?Vidonda vyekundu
Kujikuna mara kwa mara
Calamine
Swali jingine??