Troyes
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 1,372
- 1,154
Sasa yakikauka Kwa juu tu inakuaje? Bado kwny yakaendelea kuwepo?Mpaka mwaka mmoja zinawashambulia saana sema BBE na sabuni ya permed ndani ya siku tatu yamekauka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa yakikauka Kwa juu tu inakuaje? Bado kwny yakaendelea kuwepo?Mpaka mwaka mmoja zinawashambulia saana sema BBE na sabuni ya permed ndani ya siku tatu yamekauka.
Mkuu kama huko karibu na pharmacy kachukue dawa inaitwa BBE ni ya KUPAKA SEHEMU ZOTE ZA MWILI ISIPOKUA USONI.Kipindi nampeleka pharmacy, hapo nyuma (mwezi wa 11) niliwai mpeleka hospital kama 2 tofauti walimpa (sonadem) nilimpaka kwa wiki mbili mfululizo havikuisha na wengi walinambia ni vipele vya joto , vitaisha lakini havikuisha nikaona vinazidi,
Kuna pharmacy nilielekezwa nikampeleka ,ndipo akanishauri nitumie hiyo Calamine lotion lakini hola, nikaona nimrudishe hospital, awamu hii wakanibadilishia dawa wakanipa silverex ,tangu nimpake hakuna mabadiliko.
BBE ni kati ya Tsh2000 au 3000 make sure anaoga maji ya moto usiogope joto la DarAhsante sana Mkuu
Mungu akubariki sana
Nipo bugurun- DSM, nikitoa pua nje tu pharmacy kibao
Ok Tafuta BBE, sabuni ukiweza Tumia Tetmosal Soap..Ana miaka miwili . Huo ni mgongo tu anajikuna sana. Na hospital nimeenda labda nibadili hospital View attachment 2857637
Pole kwakeAna miaka miwili . Huo ni mgongo tu anajikuna sana. Na hospital nimeenda labda nibadili hospital View attachment 2857637
Asante sanaOk Tafuta BBE, sabuni ukiweza Tumia Tetmosal Soap..
Pia kama Utakuwa na uwezo wa kununua Dawa ya kunywa Tafuta Ivermectin syrup ile iliyochanganywa na Albendazole..
So ivermenctin syrup/Ivermectin Tabs 3mg au 4mg (0.15mg/kg) od (Once a day) for atleast 7 days
Ukifanya hivyo atapona nakuhakikishia...
Tupe mrejeshoShukrani
Mzee alhamdulillah hii dawa inafanya vizur kwa watoto wangu wote wawili (twins) niliwapaka wote kwa kuwa huyu mwengine vilimuanza anza.Tupe mrejesho
Sasa hivi utaambiwa nenda hospitali ukadungwe CHANJO 😂😂😂🙈🙈🙈zamani wanangu wakitokwa vipele kamahivyo bibiyao anawaogesha dawa ya asili majani flani hivi vinakauka chap
Ukiwa dingi ni Yale mababa mtu mzima hovyo.Mimi ni dingi
SaaafiMzee alhamdulillah hii dawa inafanya vizur kwa watoto wangu wote wawili (twins) niliwapaka wote kwa kuwa huyu mwengine vilimuanza anza.
Vipele vinakauka na ngozi inabadilika kurudi ktk Hali yake (pharmacy alisisitiza niwapake mara Moja tu kwa siku) ndivyi nilivyofanya Kila siku usiku kabla ya kulala nawapaka
ILA SASA CHANGAMOTO
Kuna mmoja mpaka nimeamua kumfunga kamba mikono Kisha nampaka maana amezoea kufikicha macho na mkono , kiasi kwamba juzi nilivyompaka tu baada ya muda alijikuna afu akafikicha jicho , ASEEE alitoa kilio kimoja hatari sana. Mpaka nilipomnawisha na maji safi kwa mda kidogo ndipo alinyamaza
Chief, nina mtoto ana shida kama hii ya mtoa mada.Ok Tafuta BBE, sabuni ukiweza Tumia Tetmosal Soap..
Pia kama Utakuwa na uwezo wa kununua Dawa ya kunywa Tafuta Ivermectin syrup ile iliyochanganywa na Albendazole..
So ivermenctin syrup/Ivermectin Tabs 3mg au 4mg (0.15mg/kg) od (Once a day) for atleast 7 days
Ukifanya hivyo atapona nakuhakikishia...
Dawa gani umetumia mkongwe?Mzee alhamdulillah hii dawa inafanya vizur kwa watoto wangu wote wawili (twins) niliwapaka wote kwa kuwa huyu mwengine vilimuanza anza.