Msaada: Mwanaume ninayeishi naye haoneshi kunipenda na hataki tuachane

Masai unayosema ni sahihi.

Mtu anaumwa huendi hospital kumwona wala kumpa hela ya dawa. Aise upendo wa siku hizi wakuvamiana vamiana
Hapo pa kuumwa bila kuja kukuona umeenda mbali.

Ila tugeuze faili tulisome vizuri...

Wanawake mnapenda viattention vidogovidogo ambavyo baadhi ya wanaume tunavipa kisogo.

Mwisho nisipokupa utaanza kukasirika na kuuliza kama unapendwa kweli.
 
Kuwa karibu unamaanisha nini?

Zaidi ya ukaribu nikitoka kazini kama umelazwa nakuchel kisha naenda nyumbani.
 
Hapo pa kuumwa bila kuja kukuona umeenda mbali.

Ila tugeuze faili tulisome vizuri...

Wanawake mnapenda viattention vidogovidogo ambavyo baadhi ya wanaume tunavipa kisogo.

Mwisho nisipokupa utaanza kukasirika na kuuliza kama unapendwa kweli.
Amejieleza hivyo ndipo nimemwona mchumbake ana roho ngumu. Japo sina hakika.

Kama toka mwanzo ulikuwa unaonyesha attention sana kwake nini kinakuchosha usiendele uzuri ukimwelewa mama yeyo wako hakupi shida kuna namna ya kumfanya abadilike ama ache music wako
 
Vipi ulikuwa unataka ubebwe mgongoni ndio ulete ushuhuda kuwa unapendwa?
 
Kuwa karibu unamaanisha nini?

Zaidi ya ukaribu nikitoka kazini kama umelazwa nakuchel kisha naenda nyumbani.
Mleta mada anasema, alilazwa jamaa hakuweza kwenda kumuona wala kumtumia pesa ya matibabu/matunda zaidi ya kumsisitizia tu kula na kumeza dawa.

Tunatambua kuwa wanaume mna majukumu mengi lakini kutenga japo dakika chache kwa siku kwaajili ya mpenzi wako inaleta faraja. Uko karibu mtembelee, ukiwa mbali basi japo mpigie simu
 
Kuwa karibu unamaanisha nini?

Zaidi ya ukaribu nikitoka kazini kama umelazwa nakuchel kisha naenda nyumbani.
Mkuu soma vizuri jamaa hajaenda hata kumwona hospital hadi ndugu wameuliza anadanganya amesafiri khaa huyo mwanaume wa kazi gani upendo wake kwake ni upi wa kitandani pekee
 
Ila nakuambia kuna wanawake wanapenda attention.

Simu yenyewe itapigwa three times kwa siku.

Usipo piga ananuna...lawama zinaanza.
 
Mkuu soma vizuri jamaa hajaenda hata kumwona hospital hadi ndugu wameuliza anadanganya amesafiri khaa huyo mwanaume wa kazi gani upendo wake kwake ni upi wa kitandani pekee
Usikute mafua au kichwa au tumbo la siku.

mwenyewe siji.
 
Pole sana.

Nachelea kusema anakupenda. Ukiwa na upendo utamjali mwenzako kwa hali na mali. Nashanga sana hataki kukusaidia wakati unaumwa pia unapohitaji halafu ni mchumba nashindwa kuamini hilo sasa anaona kama unamchuna ama vipi
Masai unayosema ni sahihi.

Mtu anaumwa huendi hospital kumwona wala kumpa hela ya dawa. Aise upendo wa siku hizi wakuvamiana vamiana
Penzi la mashaka!
 
My sister i really never understood you pls,but from the little i understood, your man has problems in areas of helping you , knowing your state how you are doing daily, and aslo he is not romantic, and does not give you much attention or does not give you attention at all, and when you want to walk away from this relationship he begs you to stay,from my knowledge that i gained from studying emotional intelligence, i have an answer to your problems, and i can tell you what your man is doing and why he is doing it, here is the plain truth, HE HAS NO FEELING FOR YOU NEITHER DOES HE LOVE YOU!!!!!!!,thats the bitter truth, walk out of this thing as soon as you can, he is only misusing you and then he will just walk away and get the one he loves, there is no way i can fail to shower love, attention , care and be there to support a lady i TRULY LOVE, if the lady i love cries, i will be there to wipe her tears, i will order flowers delivered to her without her fore knowledge, i will buy chocolate and hind it under the pillow, which means she will find it jioniat that time, you know what i mean, wake up before her and prepare coffe and bring it to her bedside, on and on, sasa kaa mtu hata kukuambia i love you anaona shinda unasubiri nini, kwake my dear sister
 
kama ww unampenda inatosha.. unataka upendwe ili ugundue nini??
 
Mkuu muumba akupe jicho la rohoni utambue dhamira ya jamaa we ndio mwenye maamuzi kusuka au kunyoa usikilize moyo wako unasemaje.
 
Kazi kweli kweli... Kwani lazma uwe nawee we mpige chini mazimaa
 
Kuna wanaume kusema neno nakupenda kwao ni vigumu sana
 
Inabidi uchukue hatua mapema,,, mwanaume kama huyo hauwez kuishi nae kbisa,,, tafuta mtu ambae mnapendana
 
Ndivyo alivyo mzoee hvyo, na siyo kuwa hakupendi HAMNA anakupenda sana ila hayuko romantic.. Hivyo ni wew mwenyew kuamua kama utaweza kuishi nae hivyo au unataka unaemtaka wew. Kazi kwako na umri huo chunga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…