Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

Mkataba unaanza na miaka miwili ila Kuna option ya miaka tano ni hiyari kusign kila baada ya miaka miwili unapewa tiketi ya kwenda na kurudi
 
Mkataba unaanza na miaka miwili ila Kuna option ya miaka tano ni hiyari kusign kila baada ya miaka miwili unapewa tiketi ya kwenda na kurudi
Basi mkuu tuelekeze agent anapatikana kenya sehem gani, watu tuanze michakato fasta. Kwa huu ugum wa life la bongo bora nitoe 3+ m nipate kazi hakuna namna
 
Kuwa makini na hao wanaojiita ma Agent,

Umakini unahitajika ... usijetapeliwa !
Tumia akili usiendeshwe na hisia wala tamaa!..
Agent wa kweli analipwa na kampuni kwa kuwaatafutia wafanyakazi. Nasio kulipwa na watu wanaotafuta kazi..
Chukulia binti anaenda kufanya kazi za ndani huko uarabuni , agent hawe,i kumwambia nilipe $1500.. bali mteja wake anayaetafuta mfanya kazi ndio atakaye mlipa...
Labda pia ageny watapata commission ya hela utakayokatwa baada ya kusini mkataba
 
Anataka cash ila gharama zilizobaki zote anabeba mwajiri wako including flight tickets and accommodation kulala na usafiri wa kwenda kazini na kurudi
Mkuu tupe details za huyo Agent vizuri..
 
2875299_easy_to_work_in_dubai-20210809-0001 (1).jpg

hizi chanjo ni lazima...?
 
ningekuwa nayo hiyo wallahi nisinge tafuta ajira...ungekuwa mtaji tosha...hapa hapa bongo ningekomaa
Sasa mkuu tufanye kitu gani? Mwenyewe abroad napataka, na ndo kwanza hapa nina dollar 1 tu. Me ngoja nikomae nipate pesa niamshe. Hata nikipata 10m nasepa maana hizi TOZO kwa sasa ni ngumu kutoboa kama ndo unaanza. Kwa walioanza kitambo angalau
 
Back
Top Bottom