X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
- Thread starter
-
- #201
kazi kweli naitaka ila hapo kwenye kutoa pesa ili nipate kazi kwakweli patanisamehe...siwezi kuinunua kazi tena nchi za kigeni bora ingekuwa hapa nyumbaniSasa mkuu tufanye kitu gani? Mwenyewe abroad napataka, na ndo kwanza hapa nina dollar 1 tu. Me ngoja nikomae nipate pesa niamshe. Hata nikipata 10m nasepa maana hizi TOZO kwa sasa ni ngumu kutoboa kama ndo unaanza. Kwa walioanza kitambo angalau
Hivi pia najiuliza sana hii makitu, ni kweli unalipa hela yote hiyo ili upewe kazi? Vipi ukitapeliwa?kazi kweli naitaka ila hapo kwenye kutoa pesa ili nipate kazi kwakweli patanisamehe...siwezi kuinunua kazi tena nchi za kigeni bora ingekuwa hapa nyumbani
Rudi mkuuntarudi
Hata sifahamu mkuu niliwahi piga simu ubalozi wa Qatar hapa Tz kuna mama fulani mwnye kiswahili cha kihindi alipokea na kuniambia ili upate visa inabidi uwe na cheti cha chanjo ya covid19 tena chanjo mbili yani uwe umekamilisha dozi... !! Sasa hii j&j ni mara moja tu...Sisi tuliopata johnson johnson haturusiwi kusafiri kwenda UAE?
Huyo ni Agnet wa nini???Hivi pia najiuliza sana hii makitu, ni kweli unalipa hela yote hiyo ili upewe kazi? Vipi ukitapeliwa?
Kuna mdau mmoja kaniambia yupo agent dar yeye anahitaji USD 800. Me nimeamua kutafuta hiyo hela nimfate huyo agent. Akinitapeli hela tutamalizana nae kibingwa
Nipe hiyo namba kesho nipande nae hewani. Au nielekeze wapi nitaipata. Nataka niwahoji maswali mengi,Hata sifahamu mkuu niliwahi piga simu ubalozi wa Qatar hapa Tz kuna mama fulani mwnye kiswahili cha kihindi alipokea na kuniambia ili upate visa inabidi uwe na cheti cha chanjo ya covid19 tena chanjo mbili yani uwe umekamilisha dozi... !! Sasa hii j&j ni mara moja tu...
Kazi dubaiHuyo ni Agnet wa nini???
Hiyo dollar 800 yako itunze tafuta nauli yako mwenyewe usepe.. visa dubai ukienda kwa ma agent tu wa ndege unapata ..Kazi dubai
Mkuu huyo agent nasikia anafanya kila kitu, me nikuondoka na mkataba mkononi. Nauli visa na accomodation plus usafiri ni mwajiri.Hiyo dollar 800 yako itunze tafuta nauli yako mwenyewe usepe.. visa dubai ukienda kwa ma agent tu wa ndege unapata ..
huyo jamaa kajawa na njaa!! Anataka kampuni ya kule imlipe na huku alipwe na wewe kwa mshahara gani huko???
kwa utafiti nilioufanya maagent huwa wanalipwa na matajiri ili wawapelekee wafanyakazi...kwahiyo wao wanalipwa harafu na wewe wanakuja kukulipisha tena....sisi wabongo ndio maana atuendelei....na wanalipwa pesa ndefu sana....yani unalipiwa visa, kama huna pass ya kusafilia wanakulipia gharama, unalipiwa na tiketi...bado tena agent hariziki anakuja kuichukua na pesa...yakoHivi pia najiuliza sana hii makitu, ni kweli unalipa hela yote hiyo ili upewe kazi? Vipi ukitapeliwa?
Kuna mdau mmoja kaniambia yupo agent dar yeye anahitaji USD 800. Me nimeamua kutafuta hiyo hela nimfate huyo agent. Akinitapeli hela tutamalizana nae kibingwa
Hapo kutakuwa na unafuu mkuu.Mkuu huyo agent nasikia anafanya kila kitu, me nikuondoka na mkataba mkononi. Nauli visa na accomodation plus usafiri ni mwajiri.
Nikienda mwenyewe huon kama nitatumia gharama sana
Hao wa kikenya wao mbona wanaomba pay ndefu, niliongea na mmoja mkenya, akaniuliza passport yangu ya wapi nikamwambia tz, akasema nimtumie. Hadi leo kimyakwa utafiti nilioufanya maagent huwa wanalipwa na matajiri ili wawapelekee wafanyakazi...kwahiyo wao wanalipwa harafu na wewe wanakuja kukulipisha tena....sisi wabongo ndio maana atuendelei....na wanalipwa pesa ndefu sana....yani unalipiwa visa, kama huna pass ya kusafilia wanakulipia gharama, unalipiwa na tiketi...bado tena agent hariziki anakuja kuichukua na pesa...yako
mbaya zaidi maagent wote wana tabia mbaya sana kabla hujasafiri atakuwa anakuonyesha ushirikiano mzuri sana lakini ukishapanda ndege tu na simu anakuzimia huto mpata na hii ni kwasababu kazi utakayokuwa umeiweka akilini sio hiyo utakayoenda kuifanya...
na kikubwa zaidi anaweza kukudanganya kuwa utalipwa malipo makubwa ukifika huko unakutanaa na malipo madogo tofauti na utakavyo tarajia....kikubwa tu tujiandae kisaikolojia tusiweke matarajio makubwa kupita kiasi...maagent ni waongo mara 10 kidogo maagent wa kikenya..
Sijawahi ongea nae wala kuwasiliana nae, nilipata mdau hapa JF akanipanga. Me nikamwambia fresh, ngoja nisake mtonyo ntamuibukia huyo agentHapo kutakuwa na unafuu mkuu.
Usisite kutupa mrejesho!
Hakikosha ni mtu unayeonana naye na mfanye kisheria usifanye kienyeji enyejo kama online juu kwa juu..
Vopj akikuonyesha contract tofaiti na kazi unayoenda kufanya kule??
Umakini jnahitajika sana
kingine huwa wanaogopa watu wenye pass za kitz...pengine sisi sio waaminifu huko nchi za mbali...hivyo mkenya mpaka akuunganishie kazi ujue mmeivana sana...pale mkapa tower kuna agent wanaitwa bravo...kama upo dsm jaribu kufatilia kama bado wapoHao wa kikenya wao mbona wanaomba pay ndefu, niliongea na mmoja mkenya, akaniuliza passport yangu ya wapi nikamwambia tz, akasema nimtumie. Hadi leo kimya
Nipo nje ya dsm. Ningekuwa huko labda ningeshafaham mambo mengi sanakingine huwa wanaogopa watu wenye pass za kitz...pengine sisi sio waaminifu huko nchi za mbali...hivyo mkenya mpaka akuunganishie kazi ujue mmeivana sana...pale mkapa tower kuna agent wanaitwa bravo...kama upo dsm jaribu kufatilia kama bado wapo
upo wilaya ganiNipo nje ya dsm. Ningekuwa huko labda ningeshafaham mambo mengi sana
Kwa sasa nipo Tarime lakini mara nyingi huwa nakuwa Mwanzaupo wilaya gani
poa ndugu yangu tuendelee kuhangaika ipo siku tutatoboa tu tuwatengenezee njia wengineKwa sasa nipo Tarime lakini mara nyingi huwa nakuwa Mwanza
Fresh.poa ndugu yangu tuendelee kuhangaika ipo siku tutatoboa tu tuwatengenezee njia wengine