kwa utafiti nilioufanya maagent huwa wanalipwa na matajiri ili wawapelekee wafanyakazi...kwahiyo wao wanalipwa harafu na wewe wanakuja kukulipisha tena....sisi wabongo ndio maana atuendelei....na wanalipwa pesa ndefu sana....yani unalipiwa visa, kama huna pass ya kusafilia wanakulipia gharama, unalipiwa na tiketi...bado tena agent hariziki anakuja kuichukua na pesa...yako
mbaya zaidi maagent wote wana tabia mbaya sana kabla hujasafiri atakuwa anakuonyesha ushirikiano mzuri sana lakini ukishapanda ndege tu na simu anakuzimia huto mpata na hii ni kwasababu kazi utakayokuwa umeiweka akilini sio hiyo utakayoenda kuifanya...
na kikubwa zaidi anaweza kukudanganya kuwa utalipwa malipo makubwa ukifika huko unakutanaa na malipo madogo tofauti na utakavyo tarajia....kikubwa tu tujiandae kisaikolojia tusiweke matarajio makubwa kupita kiasi...maagent ni waongo mara 10 kidogo maagent wa kikenya..