Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

asante sana kwa ufafanuzi mzuri.....kiukweli kwa zanziba njia ya kuzamia nje ipo wazi sana...pia kenya ila...wakenya awana imani na watz sijui tuliwakoseaga nini
 
pass haipo mbali kutoka...nilishafanya applicationa nadhani Mungu akipenda kuanzia wiki ijayo naweza kuiweka mkononi...kama nafasi ipo kiongozi ebu nishike mkono...na mimi niweze kujikimu
Mimi pia niende zangu Sweden
 
pass haipo mbali kutoka...nilishafanya applicationa nadhani Mungu akipenda kuanzia wiki ijayo naweza kuiweka mkononi...kama nafasi ipo kiongozi ebu nishike mkono...na mimi niweze kujikimu
Nafikiri ni vizuri kwenda visit visa lako tu, maana ukiwa kule utapata kazi aghalau ipo maslahi kuliko kusafirishwa na urgent.
Urgent sio wazuri sana, watz sio wengi lakini sababu kubwa ni uoga na sheria pia inabana sababu hurusiwi kwenda kufanya kazi nje ya nchi.
 
pass haipo mbali kutoka...nilishafanya applicationa nadhani Mungu akipenda kuanzia wiki ijayo naweza kuiweka mkononi...kama nafasi ipo kiongozi ebu nishike mkono...na mimi niweze kujikimu
Mim nipo Tz ndugu ila chá muhimu passport ikiwa mkononi unakuwa unajiamini unabakiza kutafuta chansi
 
Hiyo leseni ya SIRA naipata wapi mkuu maana bongo hakuna
 
asante sana kwa ufafanuzi mzuri.....kiukweli kwa zanziba njia ya kuzamia nje ipo wazi sana...pia kenya ila...wakenya awana imani na watz sijui tuliwakoseaga nini
Embu nipe ufafanuzi kidogo mkuu hapo unaposema kuwa ni rahisi kuzamia njee kupitia zanzibar hizo njia zimekaaje
 
Mbona mnatuchanganya Wasomaji!!? hivi ni Urgent au Agent 🥱
 
mkuu ukiwa na passport hakuna mtu atakuzuia kwenda dubai,unawaambia tu unakwenda kama mtalii au unakwenda semina tu wanakuruhusu unakwea pipa hakuna habari sijui za kupitia kenya wala nini.
Na pia habari za agents achana nazo ni stressful sana,ukitumia agents kuna changamoto zifuatazo.
1.kuna kuliwa pesa na kazi usipate
2.Kuna kuliwa pesa na kupatiwa kazi ya ajabu ambayo hutoipenda na wakati huo utakuwa kifungoni hutoruhusiwa kuacha mpaka baada ya muda fulani upite.
So ni bora uende mwenyewe ukatafutie huko huko kazi uipendayo.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Achana na habari za agents wanakulia pesa zako kwa ujanja mdogo sana.
mkuu ukiwa na passport hakuna mtu atakuzuia kwenda dubai,unawaambia tu unakwenda kama mtalii au unakwenda semina tu wanakuruhusu unakwea pipa hakuna habari sijui za kupitia kenya wala nini.
Na pia habari za agents achana nazo ni stressful sana,ukitumia agents kuna changamoto zifuatazo.
1.kuna kuliwa pesa na kazi usipate
2.Kuna kuliwa pesa na kupatiwa kazi ya ajabu ambayo hutoipenda na wakati huo utakuwa kifungoni hutoruhusiwa kuacha mpaka baada ya muda fulani upite.
So ni bora uende mwenyewe ukatafutie huko huko kazi uipendayo.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
pass haipo mbali kutoka...nilishafanya applicationa nadhani Mungu akipenda kuanzia wiki ijayo naweza kuiweka mkononi...kama nafasi ipo kiongozi ebu nishike mkono...na mimi niweze kujikimu
Hongera nilijua bado kuhusu passport nikuunge na mtu siku 3 unachukua

Sent from my CPH1933 using JamiiForums mobile app
 
Kama upo serious nenda kajiunge jeshi,France legion wanaachukua mtu yoyote duniani tafuta tu nauli na visa ya france uende wanakupokea vizuri unakula bure na accomodation unapata,muhimu uwe mtu wa mazoezi
 
asante sana kwa ufafanuzi mzuri.....kiukweli kwa zanziba njia ya kuzamia nje ipo wazi sana...pia kenya ila...wakenya awana imani na watz sijui tuliwakoseaga nini
Mafala wale hawajiaminigi tu. Hakuna cha kuwakosea wala nini. Ila jambo zuri ni kuwa dada zao wanatukubali kinoma. Tukijitambulisha tu wanaloana.
 
Urgent = Haraka au dharula

Agent = Wakala.
 
Inauma sana nikisoma huu uzi. Sijui ma'CCM yakisoma yanajisikiaje kuona watoto wa taifa hili teule wanaondoka kwenda ughaibuni kutafuta maisha tena kwa kuanzia chini kabisa wakati nchi hii ina kila kitu.

Unatakiwa kuwa mwanaharamu kuisapoti CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…