Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

Muongozo hapo ni kuwasilisha cvs then tuchek nafas gani itapatikana unaarifiwa michakato ya kutaftiwa Visa inaendelea
 
kama bado hujaenda njoo nitumie pm nikuunge mkuu
 
Una professional gan?
Mimi pia nina kila kitu kama huyo uliemreply, na proffesional yangu nina diploma ya insurance, lakini nina experience kubwa ya business management hasa kwenye retail industly kwenye big supermarkets na maduka makubwa ya retail kama LC Waikiki etc. Pia cashier, na loss control issues,

NOTE: I can do any job , yoyote inayopatikana you think i fit in, then niunganishe.
 
Tunakupoteza aiseee.... Yaani idadi ya wanaume itazidi kupungua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…