X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
- Thread starter
- #341
anapatikana wapi huyo wakala....tuchangamkie fursaWakala wakule ndo rahis
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anapatikana wapi huyo wakala....tuchangamkie fursaWakala wakule ndo rahis
Kwa taaifa ambazo ninazo kupata kazi kule kama huna hata ndugu ni ngumu sana japo watu wanapata, ila lazima uinvest ambapo hapo napo ni probability. Dalali wa kazi anataka umlipe kabla ya service yaan uumoe hela ndo aanze kushughulikia ishu yako. Kuna watu walienda direct kutafutia kazi kule kule ila inaweza katika miez 3 na kazi bado hajapata. ( Vutia picha hizo expenses za kukaa huko kipindi hiko)anapatikana wapi huyo wakala....tuchangamkie fursa
dah kazi ngumu sana ndugu yanguKwa taaifa ambazo ninazo kupata kazi kule kama huna hata ndugu ni ngumu sana japo watu wanapata, ila lazima uinvest ambapo hapo napo ni probability. Dalali wa kazi anataka umlipe kabla ya service yaan uumoe hela ndo aanze kushughulikia ishu yako. Kuna watu walienda direct kutafutia kazi kule kule ila inaweza katika miez 3 na kazi bado hajapata. ( Vutia picha hizo expenses za kukaa huko kipindi hiko)
Hatari mkuu, ni bora kupambana tu huku hukudah kazi ngumu sana ndugu yangu
anapatikana wapi huyo wakala....tuchangamkie fursa
nenda pale Posta mbele ya serena, baada ya barabara ya Ohio. Kuna mgahawa mkono wa kushoto, ingia ulizia ofisi za Passport ukiwaona waambie zaidi wanawake ndo wanatoka sanaanapatikana wapi huyo wakala....tuchangamkie fursa
sawa ndugu yangu kuna mambo ngoja niyaweke sawa ndani ya mwezi huu tutawasiliana...nitakutuma namba yangu kwenye inbox yakoNitafute
nitajaribu japo kwa sasa nipo Tanganenda pale Posta mbele ya serena, baada ya barabara ya Ohio. Kuna mgahawa mkono wa kushoto, ingia ulizia ofisi za Passport ukiwaona waambie zaidi wanawake ndo wanatoka sana
Toa maelezo ya kutosha wewe ..uko uarabuni hasaa Saudia ..sio sehemu nzuri kwa blacksWana patikana Lumumba Dar es salaam jengo la Rissa ghorofa ya tano
Toa connection ww basi tuna njaa balaa ila mambo ya kukulipa hatutaki maana ndo mambo yako tunakujua na kila nchi umeenda ww mtuToa maelezo ya kutosha wewe ..uko uarabuni hasaa Saudia ..sio sehemu nzuri kwa blacks
inapatikana wapi hiyo kampuni...?Haya kwa wale wanaotaka kufanya kazi Saudi Arabia kampuni ya Bravo imerudi na imetoa ajira kazi kwenu,,ticket na visa juu yao
kwasasa wanachukua watu waiana gani au wanataka wafanyakazi wa aina gani ya kazi...?Kabla ya kusafiri unapitia TAESA na inatambulika kiserikari kampuni mwenye shinda haende kuhakikisha
Dar es salaam, Lumumba jengo la Rissa ghorofa ya tanoinapatikana wapi hiyo kampuni...?
kwasasa wanachukua watu waiana gani au wanataka wafanyakazi wa aina gani ya kazi...?
Madereva,nurses,labour,assistant sales maelezo zaidi fikeni ofisini kwaoNi kitu muhimu kuliza maana kama wanaitaji mafundi,madereva au wafanyakazi wa garden tujue
I am on my way soon ntatua Qatar nikasake life uko, bongo kila angle msoto tuWanakuzuia airport. Bongo wana mambo ya ajabu sana. Wanataka wote tufie hapa hapa na njaa.
Kenya na Uganda hawana huu ujinga. Kila mtu yupo huru kufanya kazi popote.