Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

anapatikana wapi huyo wakala....tuchangamkie fursa
Kwa taaifa ambazo ninazo kupata kazi kule kama huna hata ndugu ni ngumu sana japo watu wanapata, ila lazima uinvest ambapo hapo napo ni probability. Dalali wa kazi anataka umlipe kabla ya service yaan uumoe hela ndo aanze kushughulikia ishu yako. Kuna watu walienda direct kutafutia kazi kule kule ila inaweza katika miez 3 na kazi bado hajapata. ( Vutia picha hizo expenses za kukaa huko kipindi hiko)
 
dah kazi ngumu sana ndugu yangu
 
ASALI KUTOKA TABORA.

Nauza Asali Ya Jumla Na Rejareja
Ipo Ya Nyuki Wadogo Na Nyuki Wakubwa.

Tunafunga Kwa Vipimo Tofauti Tofautii

Bei Ya Rejareja
Lita1 - 10,000 (Nyuki Wa Kubwa)
Lita1 - 25,000 (Nyuko Wa Dogo)

Bei Ya Jumla
Tuwasiliane Maana Kuna Ofa Zaidi

[emoji3513]0658 357537
Call/ WhatsApp/Sms
Tabora

[emoji625] [emoji593] Tunafanya Delivery Nchi Nzima.
 
nenda pale Posta mbele ya serena, baada ya barabara ya Ohio. Kuna mgahawa mkono wa kushoto, ingia ulizia ofisi za Passport ukiwaona waambie zaidi wanawake ndo wanatoka sana
nitajaribu japo kwa sasa nipo Tanga
 
Haya kwa wale wanaotaka kufanya kazi Saudi Arabia kampuni ya Bravo imerudi na imetoa ajira kazi kwenu,,ticket na visa juu yao
 
Kabla ya kusafiri unapitia TAESA na inatambulika kiserikari kampuni mwenye shinda haende kuhakikisha
kwasasa wanachukua watu waiana gani au wanataka wafanyakazi wa aina gani ya kazi...?
 
inapatikana wapi hiyo kampuni...?
Dar es salaam, Lumumba jengo la Rissa ghorofa ya tano
IMG-20220906-WA0002.jpg
 
Wanakuzuia airport. Bongo wana mambo ya ajabu sana. Wanataka wote tufie hapa hapa na njaa.

Kenya na Uganda hawana huu ujinga. Kila mtu yupo huru kufanya kazi popote.
I am on my way soon ntatua Qatar nikasake life uko, bongo kila angle msoto tu
 
Back
Top Bottom