Ancient Resident
Member
- Mar 9, 2023
- 48
- 61
Bila shaka umemaanisha Chuo cha ualimu Kleruu!!Chuo cha Kyeruu Gangilonga
Sina hakika kwa sasa lakini miaka ya nyuma kila shule ya sekondary ilikuwa na viwanja vya basketball hapo mkwawa highschool tuliwahi kucheza.zamani waliopenda michezo walifanya vizuri ktk mitihani yao labda ndo maana wizara ya elimu iliweka viwanja vya michezo katika shule hizo.Wakuu mimi ni Mgeni katika mkoa huu wa IRINGA, lakini pia ni mchezaji wa basketball, Ningependa kama kuna mwenyeji au yeyote anayefahamu viwanja vya basket iringa vinapatikana wapi.
Naomba unitajie viwanja vyote unavyovijua na sehemu vilipo
Mi nipo IRINGA MJINI.
Ahsante sana kwa atakaeshiriki kunipa Majibu
Ndio chuo cha ualimu KleruuBila shaka umemaanisha Chuo cha ualimu Kleruu!!
Yah pale kipo sahihi ....aingie Chuo Cha Rucu .....Geti la nyuma kule akiingia tu mlangoni kiwanja kipo pale .....NENDA CHUO CHA UALIMU KLERUU PIA NAHISI HATA PALE CHUO CHA RUAHA(RUCO) VIWANJA VIPO
Yaani aje Mafinga kwaajili ya Basketball?Njoo mafinga
Ndio si ni iringa.Yaani aje Mafinga kwaajili ya Basketball?
Mkuu Wilolesi nimesoma hapo. backinthedayLeo nimepita pale shule ya msingi Wilolesi nikaona wameweka magoli ya Basketball kwenye uwanja wa udongo wenye manundunundu.
Kama hakuna kizuizi kiwanja kizuri ni RUCCU na Kleruu. Hapa basketball ni kama imekufa
Nenda RUCO, utakuta kiwanja na wachezaji, huko kwingine ni viwanja tuWakuu mimi ni Mgeni katika mkoa huu wa IRINGA, lakini pia ni mchezaji wa basketball, Ningependa kama kuna mwenyeji au yeyote anayefahamu viwanja vya basket iringa vinapatikana wapi.
Naomba unitajie viwanja vyote unavyovijua na sehemu vilipo
Mi nipo IRINGA MJINI.
Ahsante sana kwa atakaeshiriki kunipa Majibu
Aisee.Mkuu Wilolesi nimesoma hapo. backintheday
Na kuhusu Viwanja vya basketball maalufu kipindi hicho ni kreluu chuo cha ualimu na Hotspring kanisa la Roma mshindo ilikuwa noma sana kipindi hicho nimekiwasha sana na kina Geez Mabovu.
Hata Iringa university/tumaini. Jimboni piaLeo nimepita pale shule ya msingi Wilolesi nikaona wameweka magoli ya Basketball kwenye uwanja wa udongo wenye manundunundu.
Kama hakuna kizuizi kiwanja kizuri ni RUCCU na Kleruu. Hapa basketball ni kama imekufa hivi.