Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Kama unatumia mdudu pita sisiemu hapo, unaeza vuna na watu pia. Karibu sana unyaluni.Wakuu mimi ni Mgeni katika mkoa huu wa IRINGA, lakini pia ni mchezaji wa basketball, Ningependa kama kuna mwenyeji au yeyote anayefahamu viwanja vya basket iringa vinapatikana wapi.
Naomba unitajie viwanja vyote unavyovijua na sehemu vilipo
Mi nipo IRINGA MJINI.
Ahsante sana kwa atakaeshiriki kunipa Majibu