Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Kama unatumia mdudu pita sisiemu hapo, unaeza vuna na watu pia. Karibu sana unyaluni.Wakuu mimi ni Mgeni katika mkoa huu wa IRINGA, lakini pia ni mchezaji wa basketball, Ningependa kama kuna mwenyeji au yeyote anayefahamu viwanja vya basket iringa vinapatikana wapi.
Naomba unitajie viwanja vyote unavyovijua na sehemu vilipo
Mi nipo IRINGA MJINI.
Ahsante sana kwa atakaeshiriki kunipa Majibu
Yah nakubali.Nenda RUCO, utakuta kiwanja na wachezaji, huko kwingine ni viwanja tu
Nenda pale gaden upoWakuu mimi ni Mgeni katika mkoa huu wa IRINGA, lakini pia ni mchezaji wa basketball, Ningependa kama kuna mwenyeji au yeyote anayefahamu viwanja vya basket iringa vinapatikana wapi.
Naomba unitajie viwanja vyote unavyovijua na sehemu vilipo
Mi nipo IRINGA MJINI.
Ahsante sana kwa atakaeshiriki kunipa Majibu
Wachezaji wapo? Tangu kucheza na kuimba muziki kuchukue nafasi ya michezo, hapa Iringa basketball imepoa sana.Hata Iringa university/tumaini. Jimboni pia
Bado wanakiwasha sana.Wachezaji wapo? Tangu kucheza na kuimba muziki kuchukue nafasi ya michezo, hapa Iringa basketball imepoa sana.
Miaka ya 90 Basketball Iringa ilichezwa Chuo Cha Ualimu Kreluu na Kanisa la Roma Mshindo,Kleruu Kulikuwa kuna Lukelo Staki,Warioba,Gwakisa,Gwantwa Mwasakyeni na wengineoWachezaji wapo? Tangu kucheza na kuimba muziki kuchukue nafasi ya michezo, hapa Iringa basketball imepoa sana.
Yes.Miaka ya 90 Basketball Iringa ilichezwa Chuo Cha Ualimu Kreluu na Kanisa la Roma Mshindo,Kleruu Kulikuwa kuna Lukelo Staki,Warioba,Gwakisa,Gwantwa Mwasakyeni na wengineo
Hicho chuo pale mbele kuwe na sanamu la GOBOLEBila shaka umemaanisha Chuo cha ualimu Kleruu!!
Gwantwa alikuwa anasoma Mkwawa High school,Nakuongezea Wengine Isack Kileo baba yao alikuwa Tanesco, Musa Mgata,Dogo Subi,Jully Ngatunga,Majuto LipangileYes.
Gwantwa simkumbuki, Lukelo Marehemu kama ilivyo kwa warioba. Gwakisa yupo Dar.
Hiyo ni miaka ya 1992-1994.
Hao sawa. Ila Gwantwa... Huyo sikumjua.Gwantwa alikuwa anasoma Mkwawa High school,Nakuongezea Wengine Isack Kileo baba yao alikuwa Tanesco, Musa Mgata,Dogo Subi,Jully Ngatunga,Majuto Lipangile
Nimefika mkwawa kaka, hujakosea unachosema ila ni kizur kuanziaNenda mkwawa chuo, ingawa uwanja ni kama vile umekutana na mabomu ya warusi...
Kama ni kanisa la Roman la hapa Town, Kiwanja chake kibovu balaa manMkuu Wilolesi nimesoma hapo. backintheday
Na kuhusu Viwanja vya basketball maalufu kipindi hicho ni kreluu chuo cha ualimu na Hotspring kanisa la Roma mshindo ilikuwa noma sana kipindi hicho nimekiwasha sana na kina Geez Mabovu.
Yes.
Gwantwa simkumbuki, Lukelo Marehemu kama ilivyo kwa warioba. Gwakisa yupo Dar.
Hiyo ni miaka ya 1992-1994.
Nimefika mkwawa kaka, hujakosea unachosema ila ni kizur kuanzia