Msaada mwenye kujua shule anayefundisha mwalimu JUMA JAFARY Handeni vijijini

Msaada mwenye kujua shule anayefundisha mwalimu JUMA JAFARY Handeni vijijini

D2050

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
1,919
Reaction score
1,094
Ombi kwenu, ninashida ya kufaham shule ambayo anafundisha mwalimu ya shule ya msingi anayeitwa JUMA JAFARI mwenyeji wa ARUSHA.anafundisha katika wilaya ya Handeni vijijini,

Huyu mwalimu anatafutwa na ndugu zake na mkewake.baada ya kuitekeleza familia yake yenye watoto wawili wadogo na mkewake,. Kumefanyika jitihada nyingi za kumtafuta bila mafanikio,amesajiliwa 2021 mwezi wa 7 huko Handeni sasa wanataka kujua shule gani ili wakamwone na wampelekee familia yake
Screenshot_20220108-225530.png

Screenshot_20220108-225716.png
 
Huwenda kapatwa na madhila jamani huyu mwalimu. Mm ninachofahamu asilimia kubwa ya walimu wanaupendo sana na mwlimu sio mtu masikini wa kushindwa kulisha familia yake
 
Ombi kwenu, ninashida ya kufaham shule ambayo anafundisha mwalimu ya shule ya msingi anayeitwa JUMA JAFARI mwenyeji wa ARUSHA.anafundisha katika wilaya ya Handeni vijijini,

Huyu mwalimu anatafutwa na ndugu zake na mkewake.baada ya kuitekeleza familia yake yenye watoto wawili wadogo na mkewake,. Kumefanyika jitihada nyingi za kumtafuta bila mafanikio,amesajiliwa 2021 mwezi wa 7 huko Handeni sasa wanataka kujua shule gani ili wakamwone na wampelekee familia yakeView attachment 2090376

View attachment 2090375
Options kubwa ni mbili.

1- Kwenda Halmashaurimya Handeni na kukutana na waajiri wake moja moja ili mkapate msaada zaidi.

2- Kama aliajiriwa mwaka Jana, then angalia mkeka wa Majina ya waajiriwa wa mwaka kutoka TAMISEMI. Kila mwalimu alipangiwa shule yake ya kufundisha direct kutoka TAMISEMI. Hivyo mtajua shule aliyopo.
 
Kama aliweza kuhudumia hiyo familia akiwa hana ajira iweje aitelekeze na ajira anayo?
Nafikiri kusema kaitelekeza familia ni kumhukumu tayari pasipo kufahamu kilichomsibu, kwa nini msingeshirikiana na vyombo husika kumtafuta?
 
Kwa maelezo ya dada yake na mama yake mkubwa, jamaa Kawa limbukeni wa maisha mapya ya Ajira.hapendi kusikiliza jambo lolote la ndugu wala mkewake. Amekuwa mwongo sana.anadanganya hataki kuipeleka familia yake anapofundisha kwasababu wanakijiji wengi ni wachawi
 
Usikute demu alikuwa na jeuri sana kipindi jamaa hajaajiriwa mwamba kapotea mazima hyo ndo dawa ya wanawake wajeuri wasio vumilia mapito .
Mwanamke ndiye aliyemsaidia kuipata hiyo kazi. Na anadiliki kulala na mpangaji wa baba yake nyumba ambayo mkewe yupo humohumo
 
Options kubwa ni mbili.

1- Kwenda Halmashaurimya Handeni na kukutana na waajiri wake moja moja ili mkapate msaada zaidi.

2- Kama aliajiriwa mwaka Jana, then angalia mkeka wa Majina ya waajiriwa wa mwaka kutoka TAMISEMI. Kila mwalimu alipangiwa shule yake ya kufundisha direct kutoka TAMISEMI. Hivyo mtajua shule aliyopo.
Shukran kwa ushauri wako,
 
Noma sana unafungua JF unajikutwa unatafutwa bila RB
Mwezi wa 12/2021 alishaitwa police kwenye dawati.lakini hakwenda.alikalishwa na shekhe aliyewafungisha ndoa ili wayamalize.akaomba msamaha kwenye kikao.alipotoka mambo ni yaleyale
 
Back
Top Bottom