Msaada mwenye kujua shule anayefundisha mwalimu JUMA JAFARY Handeni vijijini

Kwakuwa umesema mengi ngoja tukubaliane Mwl. Juma katelekeza familia yake. Ila usione ni rahisi sana kwenda mazingira hayo na familia tena ajira mpya za juzi.
Handeni tena vijijini ni miongoni mwa maeneo magumu mno kuishi na familia.
Pia kuhusu ajira mpya zilizotoka mwaka jana na kuripoti mwezi wa 7 wengi wao walikaa miezi kama 3 na bila salary. Kama mna uhakika alipatiwa salary yake tangu huo mwezi wa 7 basi mna haki kumsema ndugu JUMA.
 
Ombi kwenu, ninashida ya kufaham shule ambayo anafundisha mwalimu ya shule ya msingi anayeitwa JUMA JAFARI mwenyeji wa ARUSHA.anafundisha katika wilaya ya Handeni vijijini,

Huyu mwalimu anatafutwa na ndugu zake na mkewake.baada ya kuitekeleza familia yake yenye watoto wawili wadogo na mkewake,. Kumefanyika jitihada nyingi za kumtafuta bila mafanikio,amesajiliwa 2021 mwezi wa 7 huko Handeni sasa wanataka kujua shule gani ili wakamwone na wampelekee familia yakeView attachment 2090376

View attachment 2090375
Kiongozi,hapo kwenye picha ndo huyo mwalimu anayetafutwa?
 
Kwakuwa umesema mengi ngoja tukubaliane Mwl. Juma katelekeza familia yake. Ila usione ni rahisi sana kwenda mazingira hayo na familia tena ajira mpya za juzi.
Handeni tena vijijini ni miongoni mwa maeneo magumu mno kuishi na familia.
Pia kuhusu ajira mpya zilizotoka mwaka jana na kuripoti mwezi wa 7 wengi wao walikaa miezi kama 3 na bila salary. Kama mna uhakika alipatiwa salary yake tangu huo mwezi wa 7 basi mna haki kumsema ndugu JUMA.
Nikweli walichelewa kulipwa,likizo ya mwezi wa 12 alimdanganya mkewe hawezi rudi Arusha kwasababu yupo na zamu shuleni,baada ya siku mbili kuongea na mkewe kwenye simu,dada yake alimkuta anatoka kwa mwanamke hapohapo Arusha.kwa maana hiyo alikuwa amesharudi Arusha kimyakimya na kufikia kwa mwanamke mwingine huku akimdanganya mkewe yupo Handeni Tanga.

Ndugu zake mwalimu JUMA JAFARY walimwambia kama hamtaki mkewake ampe talaka ili arudi kwao SONGEA.lakini anakaidi kutoa talaka,na hawahudumii watoto wake wawili na mzazi mwenzake.hajui wanakula nini yeye na totozi tu.
 
Mtoa hoja muulize kama ana copy ya ID ya mme wake,chukua hiyo ID (yenye number)nenda home affairs watajua yupo shule gani,au yupo wapi
Hana mkuu,kaficha kila kitu na katoroka na begi zake maana alikuja likizo hii Arusha.lakini hakufikia kwa mkewe wala kwa baba yake.alifikia kwa mwanamke mwingine na akaongopa yupo Tanga
 
Nikweli walichelewa kulipwa,likizo ya mwezi wa 12 alimdanganya mkewe hawezi rudi Arusha kwasababu yupo na zamu shuleni,baada ya siku mbili kuongea na mkewe kwenye simu,dada yake alimkuta anatoka kwa mwanamke hapohapo Arusha.kwa maana hiyo alikuwa amesharudi Arusha kimyakimya na kufikia kwa mwanamke mwingine huku akimdanganya mkewe yupo Handeni Tanga.

Ndugu zake mwalimu JUMA JAFARY walimwambia kama hamtaki mkewake ampe talaka ili arudi kwao SONGEA.lakini anakaidi kutoa talaka,na hawahudumii watoto wake wawili na mzazi mwenzake.hajui wanakula nini yeye na totozi tu.
Huyu ndiye mwalimu eti anafundisha watoto wetu na nidhamu juu. Tumekwisha
 
Hana mkuu,kaficha kila kitu na katoroka na begi zake maana alikuja likizo hii Arusha.lakini hakufikia kwa mkewe wala kwa baba yake.alifikia kwa mwanamke mwingine na akaongopa yupo Tanga
Basi Kama ndiyo hivyo kutakua kuna kitu kikubwa huyo Mkewe atakua alimkosea Mumewe, ndiyo maana Sasa hivi Jamaa ndiyo analipiza! Muulizeni vizuri huyo Mkewe,Kama kuna makosa yoyote alimfanyia Mumewe, maana kuna Wanaume wengine wao hawajui kuongea wao ni vitendo tu hadi mwenyewe ujiongeze!!
 
Sijajua ndugu maana moyo wa mtu kichaka,na wakati wanafunga ndoa hali ilikuwa ngumu jamaa alikuwa anategemea misaada kwa ndugu zake ndio aishi.lakini baada ya kuajiliwa hata hao ndugu haongei nao na kawablock.hakuna ndugu anaemsikiliza
 
kuna wanaume wakipata hela aisee ni full kudinda na kujaza mimba mtaa kwa mtaa.

Ndo ndugu Juma sasa.

Mke angetafuta utaratibu mwingine tu kwa sababu yajayo yanafurahisha.

Binafsi I would not bother looking for him.
 
Hana mkuu,kaficha kila kitu na katoroka na begi zake maana alikuja likizo hii Arusha.lakini hakufikia kwa mkewe wala kwa baba yake.alifikia kwa mwanamke mwingine na akaongopa yupo Tanga
Noooo mkuu umenijibu kisiasa,mke anaolewa ,anazaa na hajui ID number ya mme wake?why mwambie aangalie kwenye cheti chao cha ndoa lazima kina ID ya mme wake au aangalie kwenye birth certificates za watoto;kama hawezi kupata id ya mmewe kwenye documents hizo elewa anaishi in a pit hole country!au aende home affairs na akumbuke tarehe ya ndoa yake tu.
 
kuna wanaume wakipata hela aisee ni full kudinda na kujaza mimba mtaa kwa mtaa.

Ndo ndugu Juma sasa.

Mke angetafuta utaratibu mwingine tu kwa sababu yajayo yanafurahisha.

Binafsi I would not bother looking for him.
Dah kwa hii hii take home yetu walimu wa primary ya shilling laki nne kwa mwezi bila marupu rupu yeyote ndio inamzuzua hivi? [emoji23]

Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
 
Ombi kwenu, ninashida ya kufaham shule ambayo anafundisha mwalimu ya shule ya msingi anayeitwa JUMA JAFARI mwenyeji wa ARUSHA.anafundisha katika wilaya ya Handeni vijijini,

Huyu mwalimu anatafutwa na ndugu zake na mkewake.baada ya kuitekeleza familia yake yenye watoto wawili wadogo na mkewake,. Kumefanyika jitihada nyingi za kumtafuta bila mafanikio,amesajiliwa 2021 mwezi wa 7 huko Handeni sasa wanataka kujua shule gani ili wakamwone na wampelekee familia yakeView attachment 2090376

View attachment 2090375
Hao wengine sio kwamba wanatelekezaga familia hapana unakuta mtu anatuma pesa kupitia kwa ndugu au watu wake wa karibu waipe familia yake halafu watu wanaila iyo pesa kwenye familia hawaipeleki iyo nayo ipo na inatokea sana hapo kama walivyosema wa mwanzo nenda kwa mwajiri wake utampata tu
 
Nikweli walichelewa kulipwa,likizo ya mwezi wa 12 alimdanganya mkewe hawezi rudi Arusha kwasababu yupo na zamu shuleni,baada ya siku mbili kuongea na mkewe kwenye simu,dada yake alimkuta anatoka kwa mwanamke hapohapo Arusha.kwa maana hiyo alikuwa amesharudi Arusha kimyakimya na kufikia kwa mwanamke mwingine huku akimdanganya mkewe yupo Handeni Tanga.

Ndugu zake mwalimu JUMA JAFARY walimwambia kama hamtaki mkewake ampe talaka ili arudi kwao SONGEA.lakini anakaidi kutoa talaka,na hawahudumii watoto wake wawili na mzazi mwenzake.hajui wanakula nini yeye na totozi tu.
Kama hili ni kweli huyu ni tapeli mkubwa.
Haiwezekani mwanaume mwenye akili timamu afanye ujinga huu tena kwa mke wake. Kama mna ushahidi wa haya mnayosema ngoja tuwasaidie kumtia adabu, wanaume kamili hatufanyi hivi.
 
Mkuu siongopi hata moja niliyoandika yote ni ya ukweli mtupu
 
Back
Top Bottom