Options kubwa ni mbili.Ombi kwenu, ninashida ya kufaham shule ambayo anafundisha mwalimu ya shule ya msingi anayeitwa JUMA JAFARI mwenyeji wa ARUSHA.anafundisha katika wilaya ya Handeni vijijini,
Huyu mwalimu anatafutwa na ndugu zake na mkewake.baada ya kuitekeleza familia yake yenye watoto wawili wadogo na mkewake,. Kumefanyika jitihada nyingi za kumtafuta bila mafanikio,amesajiliwa 2021 mwezi wa 7 huko Handeni sasa wanataka kujua shule gani ili wakamwone na wampelekee familia yakeView attachment 2090376
View attachment 2090375
Usikute demu alikuwa na jeuri sana kipindi jamaa hajaajiriwa mwamba kapotea mazima hyo ndo dawa ya wanawake wajeuri wasio vumilia mapito .Jamaa mpuuzi sana kasahau hadi familia yake
Kwa maelezo ya dada yake na mama yake mkubwa, jamaa Kawa limbukeni wa maisha mapya ya Ajira.hapendi kusikiliza jambo lolote la ndugu wala mkewake. Amekuwa mwongo sana.anadanganya hataki kuipeleka familia yake anapofundisha kwasababu wanakijiji wengi ni wachawiKama aliweza kuhudumia hiyo familia akiwa hana ajira iweje aitelekeze na ajira anayo?
Nafikiri kusema kaitelekeza familia ni kumhukumu tayari pasipo kufahamu kilichomsibu, kwa nini msingeshirikiana na vyombo husika kumtafuta?
Mwanamke ndiye aliyemsaidia kuipata hiyo kazi. Na anadiliki kulala na mpangaji wa baba yake nyumba ambayo mkewe yupo humohumoUsikute demu alikuwa na jeuri sana kipindi jamaa hajaajiriwa mwamba kapotea mazima hyo ndo dawa ya wanawake wajeuri wasio vumilia mapito .
Shukran kwa ushauri wako,Options kubwa ni mbili.
1- Kwenda Halmashaurimya Handeni na kukutana na waajiri wake moja moja ili mkapate msaada zaidi.
2- Kama aliajiriwa mwaka Jana, then angalia mkeka wa Majina ya waajiriwa wa mwaka kutoka TAMISEMI. Kila mwalimu alipangiwa shule yake ya kufundisha direct kutoka TAMISEMI. Hivyo mtajua shule aliyopo.
bro si unaona picha zimechukuliwa Fb angemuoshaje sasa?Huyo mtoto umempost kabla hujamnawisha usoni, haijakaa poa
Sema Akyaa MunguMwanamke ndiye aliyemsaidia kuipata hiyo kazi. Na anadiliki kulala na mpangaji wa baba yake nyumba ambayo mkewe yupo humohumo
The thin' is hakutakiwa kumpost katika hali ile. Besides watoto huwa wanapostiwa mtandaoni kwa kuziba uso lkn yeye na wewe mnaona poa tu kumuanika mtotobro si unaona picha zimechukuliwa Fb angemuoshaje sasa?
What if katekwa na mambo mengine?Ameshatekwa na mabinti wa kitanga,hiyo ngoma. Ngumu,apo ata kwao atapasahau