Msaada: Naharisha kila nikila nyama yenye mafuta

Mayova

Senior Member
Joined
May 10, 2018
Posts
189
Reaction score
132
Ndugu zangu madaktari wa jf nina shida kila nikila nyama nyenye mafuta nakua naharisha sana.

Mfano jana nimekula nyama ya mbuzi iliyopikwa mchuzi nimeharisha mpaka damu.

Naombeni msaada jamani
 
Pole ndugu. Sina utaalam sana lakini sometimes kuna watu wakila nyama ilopikwa na mafuta mengi inakua hivo. Na mara nyingi ni mafuta ya kupikia yakizidi hasahasa uswazi ambako kueka mafuta ni fashen.

Jaribu kua unacjoma nyamamyoyote yenye mafuta mengi ili kuyapungiza kabla hujaipika. Na pia kuepuka vyakula vya kuungwa sana
 
Asante sana blaza . Ntafanyia kazi
 
Back
Top Bottom