Msaada: Nahisi mdogo wetu wa kike kaongopa kuwa yupo field ila nahisi huenda kafungiwa na Mwanaume huko mkoani

Ni kweli wameenda field wengi kweli jumamosi nilikua nasuka pande ile nimewaona..tubu acha mawazo mabaya juu ya ndugu yako
 
Ningekuwa me ndo ww ningeenda pale chuoni ukweli ningepata tu kupitia wanafunzi walioko hapo chuoni kama kweli wameenda field au anagawa mbususu tu uko
 
Acha mdogo wako aukalie huko aliko, maisha menyewe haya mafupi tu, na tutazikwa nazo.
 
Kuna mwamba analoweka utambi kwenye mbususu ya dogo hapo hapo dodoma
 
Ungeenda chuo kuulizia...maana wanachuo hata kuolewa wanaolewa kwa muda huko
 
unakwama wapi baharia, ungeenda maeneo ya chuoni ungepata jibu mapema sana
 
Mkuu ulikua dodoma nadhani maamuzi ambayo yangekusaidia kujua ukweli ungefika chuoni kuulizia ungeupata ukweli wote. Na lingine binti aliepo chuoni ni hakika kabsa kuwa ana mtu hata kama sio mbaba ila mbususu inaliwa tena mchana na usiku hivyo usivuke mipaka saana ya kumchunguza mdgo wako unayo yawaza ndio majibu. Japo kweli baadhi ya vyuo wanaenda field baada ya semister ya kwanza. Ila chunguza ada yako isichezewe bure.
 
Mtumie sms kuwa afanye mambo yake ila kikubwa ajitahidi kusoma, mwambie wewe kama mzazi unamdai matokeo na una haki ya kuyapata.

Mwanachuo tayari ni mtu mzima, kuna vitu huwezi kuvicontrol, ibaki tu kumpa ushauri kama dada.
 
Mimi mdogo wangu yup udom nilimuota akazima simu na mtu nilie mpeleka kuanzia la kwanzalk chuo nilijikuta nakunywa nyagi basi nmegeuza
 
Tulia tuichakate papuchi yake.
Ila wanafunzi wa vyuo vya Dodoma wanatiwa aisee. Sijui ni ugumu wa maisha su nini.
Nguvu za ujanani,matamanio ya mwili kumbuka ndiyo yuko kwenye her peek ya ukuaji na uhuru wa kumwaga.
 
Mambo mengine achana nayo

Umsomeshe usimsomeshe watambeba tu na watamuoa kabisa na kukutenganisha nae

Play your part mambo mengine achana nayo. Ameshakua binti watapita nae tu popote pale atakapo kuwapo
Naona umeamua kumvuruga kabisa, kwamba hakuna namna atabebwa tu[emoji3][emoji3]
 
Mimi naweza nje ya box kidogo,
Mleta mada ni mwanaume na anaye demu wake anayesoma chuo cha mipango Dodoma so,jamaa alipoenda kumtembelea demu wake Dodoma au alipoenda kwa shughuli nyingine Dodoma ajakaona ni vzr pia kama atam-check mtoto kwa hewa ili amgonge...kwa bahati mbaya ndyo akaambiwa "nipo field"

Haiwezekani ndugu yako wa damu ushindwe kumtembelea hapo chuoni (kila chuo kina utaratibu wa ndugu au rafiki kumtembelea mwanachuo hapo chuoni)

Pia,inawezekanaje mtu apatikane hewani halafu akwambie kuwa mtandao unasumbua?

Something must be wrong somewhere!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…