binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Thanks man! Ninao wawili college wote wa kike na walivyo wazuri, nashikilia roho tu sina namna na kuwa motivesheni speaker kila siku 😀.Umeongea kwa busara sana mkuu. GOD bless.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks man! Ninao wawili college wote wa kike na walivyo wazuri, nashikilia roho tu sina namna na kuwa motivesheni speaker kila siku 😀.Umeongea kwa busara sana mkuu. GOD bless.
Pole sana kwa changamoto hiyo na kushikiria roho lakini hongerah kwa kuwa na wadada warembo. Ningekuwa bado nina nafasi tungeongea kwa upande wapili.Thanks man! Ninao wawili college wote wa kike na walivyo wazuri, nashikilia roho tu sina namna na kuwa motivesheni speaker kila siku 😀.
Unasema wewe Mwenyewe Ulikuwa DomDom, Kwa Nini hukwenda Mwenyewe pale chuoni ili kupata Uhakika?Kama kuna mwanafunzi anayesoma Chuo cha Mipango Dodoma ama mtumishi wa hicho chuo ama mzazi mwenye mtoto anayesoma hapo naomba anithibitishie hili kuna mdogo wetu namlipia ada katika chuo taja hapo juu kozi ya “Bachelor Degree in Human Resource Planning and Management (BDHRPM).
Sasa jumamosi hii nilikuwa katika huo mji mkuu wa serikali nikasema nimpigie simu ili nipate kumkaribisha mahali apate chakula cha mchana na jioni kupokea hakutaka ila akanitext kwamba ana emergence kasafiri kaenda wilaya ya jirani kwa field? na sehemu alipo hakuna network nzuri bora tuwasiliane kwa text.
Alivyotaja FIELD akili yangu ikagutuka kidogo maana miaka yetu field huwa tunafanya mwishoni mwa semester, kengele ikanijia kichwani huwenda huyu mdogo wetu ndio keshaanza kuitembea Tanzania na viunga vyake akiwa hapa dodoma pamoja na wabab wa watu.
Na isitoshe huyu mdogo wetu tunatumia gharama nyingi kumsomesha kwa kweli hata ile morali ya kujiachia nikiwa dodoma ikapotea maana nilikuwa na mawazo mengi kichwani moja wapo ni kuwa huwenda kuna kibaba cha mtu kimemsafirisha mkoani ukitegemea wiki ilikuwa na likizo ndefu kidogo takribani siku nne kupisha sikukuu ya pasaka.
Hivyo nimekuja humu ndani kupata ukweli, hasa ukitegemea JF imesheheni watu wa aina mbalimbali na katika nyaja tofouti tofouti huwenda wakawa na ABC,s kuhusiana na hiki chuo ni kweli hawa wanafunzi wa mipango wameanza field katikati ya masomo, ama huyu mdogo wetu ameamua kunidanganya kuficha uchafu anaofanya pindi akiwa chuo kwa kutoroka vipindi kwenda kufanya maovu mikoani huko.
Naomba nipate ukweli kama kweli wameanza ratiba ama laah.
Nakuunga mkonoWadada wa MIPANGO DODOMA ni hatari sana hao, hicho chuo ukipeleka mtoto wa kike asiyejitambua vizuri ataliwa sana tu.
Pale maeneo ya CBE kuna Logde moja inaitwa NELISSA, wanaliwa sana mule wadada wa Mipango.
Naombe nieleweke hivyo tu.
Wadada wa MIPANGO DODOMA ni hatari sana hao, hicho chuo ukipeleka mtoto wa kike asiyejitambua vizuri ataliwa sana tu.
Pale maeneo ya CBE kuna Logde moja inaitwa NELISSA, wanaliwa sana mule wadada wa Mipango.
Naombe nieleweke hivyo tu.
Mjukuu wangu anasoma hapo. Namlipia with condition kuwa nisisikie ana supplementary, akiendekeza wanaume na akapata supp hata moja, simlipii na ni mwisho wa Chuo. Kwa vile anajua nikisema nimesema, hadi leo mwaka wa tatu hajawahi kupata supplementary.Mtumie sms kuwa afanye mambo yake ila kikubwa ajitahidi kusoma, mwambie wewe kama mzazi unamdai matokeo na una haki ya kuyapata.
Mwanachuo tayari ni mtu mzima, kuna vitu huwezi kuvicontrol, ibaki tu kumpa ushauri kama dada.
Hahaha so akipata sup inamaanisha alikua na wanaume??Mjukuu wangu anasoma hapo. Namlipia with condition kuwa nisisikie ana supplementary, akiendekeza wanaume na akapata supp hata moja, simlipii na ni mwisho wa Chuo. Kwa vile anajua nikisema nimesema, hadi leo mwaka wa tatu hajawahi kupata supplementary.
Tatizo kubwa ni Wazazi kukosa misimamo na watoto kujua hilo
Kwa uzoefu wangu hamnaga fields mwezi April-May may be seminarsKama kuna mwanafunzi anayesoma Chuo cha Mipango Dodoma ama mtumishi wa hicho chuo ama mzazi mwenye mtoto anayesoma hapo naomba anithibitishie hili kuna mdogo wetu namlipia ada katika chuo taja hapo juu kozi ya “Bachelor Degree in Human Resource Planning and Management (BDHRPM).
Sasa jumamosi hii nilikuwa katika huo mji mkuu wa serikali nikasema nimpigie simu ili nipate kumkaribisha mahali apate chakula cha mchana na jioni kupokea hakutaka ila akanitext kwamba ana emergence kasafiri kaenda wilaya ya jirani kwa field? na sehemu alipo hakuna network nzuri bora tuwasiliane kwa text.
Alivyotaja FIELD akili yangu ikagutuka kidogo maana miaka yetu field huwa tunafanya mwishoni mwa semester, kengele ikanijia kichwani huwenda huyu mdogo wetu ndio keshaanza kuitembea Tanzania na viunga vyake akiwa hapa dodoma pamoja na wabab wa watu.
Na isitoshe huyu mdogo wetu tunatumia gharama nyingi kumsomesha kwa kweli hata ile morali ya kujiachia nikiwa dodoma ikapotea maana nilikuwa na mawazo mengi kichwani moja wapo ni kuwa huwenda kuna kibaba cha mtu kimemsafirisha mkoani ukitegemea wiki ilikuwa na likizo ndefu kidogo takribani siku nne kupisha sikukuu ya pasaka.
Hivyo nimekuja humu ndani kupata ukweli, hasa ukitegemea JF imesheheni watu wa aina mbalimbali na katika nyaja tofouti tofouti huwenda wakawa na ABC,s kuhusiana na hiki chuo ni kweli hawa wanafunzi wa mipango wameanza field katikati ya masomo, ama huyu mdogo wetu ameamua kunidanganya kuficha uchafu anaofanya pindi akiwa chuo kwa kutoroka vipindi kwenda kufanya maovu mikoani huko.
Naomba nipate ukweli kama kweli wameanza ratiba ama laah.
ukweli ni kwamba dogo mmeshamkosa, nilishawah kukaa na na dogo mmoja wa mipango karibu semister 3 tukiishi kama wanandoa na home kwao walikua wanafanya baadhi ya matumizi tunaishi pamoja pale ghetto maeneo ya iringa road karibu na kitoli, maisha yalikua safi sana ilifika kipindi alitumia sim yangu kupiga kwa brother ake tukikwama kwenye 1 na 2. Tulizinguana pale nilipomkuta chako ni chako mzee mmoja namfahamu.. kwa ufupi ayo maisha yapo tu cha msingi dogo arudi na cheti ila msisitize sana matumizi ya kinga kwasabu vizee vingi pale Dodoma vimeunguaKama kuna mwanafunzi anayesoma Chuo cha Mipango Dodoma ama mtumishi wa hicho chuo ama mzazi mwenye mtoto anayesoma hapo naomba anithibitishie hili kuna mdogo wetu namlipia ada katika chuo taja hapo juu kozi ya “Bachelor Degree in Human Resource Planning and Management (BDHRPM).
Sasa jumamosi hii nilikuwa katika huo mji mkuu wa serikali nikasema nimpigie simu ili nipate kumkaribisha mahali apate chakula cha mchana na jioni kupokea hakutaka ila akanitext kwamba ana emergence kasafiri kaenda wilaya ya jirani kwa field? na sehemu alipo hakuna network nzuri bora tuwasiliane kwa text.
Alivyotaja FIELD akili yangu ikagutuka kidogo maana miaka yetu field huwa tunafanya mwishoni mwa semester, kengele ikanijia kichwani huwenda huyu mdogo wetu ndio keshaanza kuitembea Tanzania na viunga vyake akiwa hapa dodoma pamoja na wabab wa watu.
Na isitoshe huyu mdogo wetu tunatumia gharama nyingi kumsomesha kwa kweli hata ile morali ya kujiachia nikiwa dodoma ikapotea maana nilikuwa na mawazo mengi kichwani moja wapo ni kuwa huwenda kuna kibaba cha mtu kimemsafirisha mkoani ukitegemea wiki ilikuwa na likizo ndefu kidogo takribani siku nne kupisha sikukuu ya pasaka.
Hivyo nimekuja humu ndani kupata ukweli, hasa ukitegemea JF imesheheni watu wa aina mbalimbali na katika nyaja tofouti tofouti huwenda wakawa na ABC,s kuhusiana na hiki chuo ni kweli hawa wanafunzi wa mipango wameanza field katikati ya masomo, ama huyu mdogo wetu ameamua kunidanganya kuficha uchafu anaofanya pindi akiwa chuo kwa kutoroka vipindi kwenda kufanya maovu mikoani huko.
Naomba nipate ukweli kama kweli wameanza ratiba ama laah.
Aisee nina jambo kuhusu habari uliyoweka hapa.Thanks man! Ninao wawili college wote wa kike na walivyo wazuri, nashikilia roho tu sina namna na kuwa motivesheni speaker kila siku 😀.
Usipende kujump kwa conclusion next time ….. ukizingatia ni mtu mzima pia ana mahitaji mengine ya kibinadamu zaidi ya elimu
Hahah we mjamaa unataka uniongezee pressure!?Aisee nina jambo kuhusu habari uliyoweka hapa.
Jini likujualo mkuu 😀😀Hahah we mjamaa unataka uniongezee pressure!?
Kwa Watoto wa Kike, matokeo yanaakisi mapenziHahaha so akipata sup inamaanisha alikua na wanaume??
kupata SUP kuna mechanism nyingi sana …..
Omba tu MUNGU amtangulie amalize salama with flying colours !!!
Hilo ni kweli kabisa, enzi mzee wangu aliwahi kunitimua home kwa matokeo mabovu ya mitihani wa la saba (wa ndani ya shule) na akakaza kama siku tatu hivi bila huruma, hata mama alipojaribu kunitetea nae akaunganishwa, nikajua nina baba wa ajabu sana(akili za kitoto)Mjukuu wangu anasoma hapo. Namlipia with condition kuwa nisisikie ana supplementary, akiendekeza wanaume na akapata supp hata moja, simlipii na ni mwisho wa Chuo. Kwa vile anajua nikisema nimesema, hadi leo mwaka wa tatu hajawahi kupata supplementary.
Tatizo kubwa ni Wazazi kukosa misimamo na watoto kujua hilo
Usizae mtoto ukitegemea Loans board watakusaidia kulipa .Watoto wa kike wengi wapo vyuoni wanapewa boom ila nyumbani kwao kimbiji wanasema bodi haijawapa mkopo hata kidogo. Wazazi wana henya shambani na kuuza mifugo wanatuma hela kila wiki kumbe binti wapo na kashikaji kake wamepanga mjini wanakula boom na jasho la wazazi. Aseeeeeeee
Yaani ni Voda na "Tigo"Double line ndio nini?