Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wanachuo washamaliza field na kurudi vyuoni hata kabla ya pasaka?Kama kuna mwanafunzi anayesoma Chuo cha Mipango Dodoma ama mtumishi wa hicho chuo ama mzazi mwenye mtoto anayesoma hapo naomba anithibitishie hili kuna mdogo wetu namlipia ada katika chuo taja hapo juu kozi ya “Bachelor Degree in Human Resource Planning and Management (BDHRPM).
Sasa jumamosi hii nilikuwa katika huo mji mkuu wa serikali nikasema nimpigie simu ili nipate kumkaribisha mahali apate chakula cha mchana na jioni kupokea hakutaka ila akanitext kwamba ana emergence kasafiri kaenda wilaya ya jirani kwa field? na sehemu alipo hakuna network nzuri bora tuwasiliane kwa text.
Alivyotaja FIELD akili yangu ikagutuka kidogo maana miaka yetu field huwa tunafanya mwishoni mwa semester, kengele ikanijia kichwani huwenda huyu mdogo wetu ndio keshaanza kuitembea Tanzania na viunga vyake akiwa hapa dodoma pamoja na wabab wa watu.
Na isitoshe huyu mdogo wetu tunatumia gharama nyingi kumsomesha kwa kweli hata ile morali ya kujiachia nikiwa dodoma ikapotea maana nilikuwa na mawazo mengi kichwani moja wapo ni kuwa huwenda kuna kibaba cha mtu kimemsafirisha mkoani ukitegemea wiki ilikuwa na likizo ndefu kidogo takribani siku nne kupisha sikukuu ya pasaka.
Hivyo nimekuja humu ndani kupata ukweli, hasa ukitegemea JF imesheheni watu wa aina mbalimbali na katika nyaja tofouti tofouti huwenda wakawa na ABC,s kuhusiana na hiki chuo ni kweli hawa wanafunzi wa mipango wameanza field katikati ya masomo, ama huyu mdogo wetu ameamua kunidanganya kuficha uchafu anaofanya pindi akiwa chuo kwa kutoroka vipindi kwenda kufanya maovu mikoani huko.
Naomba nipate ukweli kama kweli wameanza ratiba ama laah.
Itakua ndio huyu nimepanda naye Basi anarudi Dodoma akitokea moshi maana inaonekana haelew chochote anauliza maswali Mara babat Dom napata gari? Mara nitafika saa ngapi Dodoma.. oyaaa ukiona manyoyaHawa wadogo zetu hasa wa jinsia zetu hizi hukumbana na ushawishi sana hasa ukitegemea ni hapo dodoma yaani hamu ya kubaki huko ikaniisha kaniambia ni babati manyara.
Yap, Na jamaa wa COED wamebeba videm vyao na alteza, haya Mambo Basi tu.Ulikuwa dodoma,ulishindwa nini kufika chuoni na kuupata ukweli?
Ulishasema ni likizo mbona tena unasema anadoji vipindi
Kinachokuumiza sio kusoma ila ni mawazo ya kuliwa kwa sista ako,je yule ni mtoto unamchunga(ungekaa naye kwako)
Mwisho
Jifunze kupotezea mengine sio kila kitu akupe taarifa,japo haijakaa poa lakini jitahd i kuyapotezea
N.B miaka ya 2015 UDOM sina kumbukumbu sana wanachuo walienda kujirusha mwanza bahati mbaya wakapata ajali,kiukweli haikuwa nzuri kwa wazazi maana mzazi anajua mtoto yupo dodoma ila taarifa za kifo zinatokea mwanza
Ila mkuu usinipopoe kweli inauma jamani
Mkuu sio Dodoma tu vyuo vingi ni madanguro yaliyochangamka we nenda Chuo cha Ushirika Moshi, UDSM, CBE nk.Tulia tuichakate papuchi yake.
Ila wanafunzi wa vyuo vya Dodoma wanatiwa aisee. Sijui ni ugumu wa maisha au nini.
Mleta mada ni jinsia ya Ke, angalia michango yake hapa jf!Mimi naweza nje ya box kidogo,
Mleta mada ni mwanaume na anaye demu wake anayesoma chuo cha mipango Dodoma so,jamaa alipoenda kumtembelea demu wake Dodoma au alipoenda kwa shughuli nyingine Dodoma ajakaona ni vzr pia kama atam-check mtoto kwa hewa ili amgonge...kwa bahati mbaya ndyo akaambiwa "nipo field"
Haiwezekani ndugu yako wa damu ushindwe kumtembelea hapo chuoni (kila chuo kina utaratibu wa ndugu au rafiki kumtembelea mwanachuo hapo chuoni)
Pia,inawezekanaje mtu apatikane hewani halafu akwambie kuwa mtandao unasumbua?
Something must be wrong somewhere!
Aaah,kanaume kamalaya mbona umeumia sasa shida ni nini?Kwaniaba ya Mtoa uzi......WEWE NI KANAKAKE KAJINGA.
KATAAA KUBALI.
Double line ndio nini?Mkuu sio Dodoma tu vyuo vingi ni madanguro yaliyochangamka we nenda Chuo cha Ushirika Moshi, UDSM, CBE nk.
Vibinti vunagawa mbususu kama kawaida tena vitoto vingi ni "Double line" kabisa
Daah nambie chibonge mwepesi, nilikua bize sana Leo.Sasa ujinga wake ukwap we nae
Kitu kizito cha kichwa hapo bnt kashaolewa ila sio kivilee... Au basiKama kuna mwanafunzi anayesoma Chuo cha Mipango Dodoma ama mtumishi wa hicho chuo ama mzazi mwenye mtoto anayesoma hapo naomba anithibitishie hili kuna mdogo wetu namlipia ada katika chuo taja hapo juu kozi ya “Bachelor Degree in Human Resource Planning and Management (BDHRPM).
Sasa jumamosi hii nilikuwa katika huo mji mkuu wa serikali nikasema nimpigie simu ili nipate kumkaribisha mahali apate chakula cha mchana na jioni kupokea hakutaka ila akanitext kwamba ana emergence kasafiri kaenda wilaya ya jirani kwa field? na sehemu alipo hakuna network nzuri bora tuwasiliane kwa text.
Alivyotaja FIELD akili yangu ikagutuka kidogo maana miaka yetu field huwa tunafanya mwishoni mwa semester, kengele ikanijia kichwani huwenda huyu mdogo wetu ndio keshaanza kuitembea Tanzania na viunga vyake akiwa hapa dodoma pamoja na wabab wa watu.
Na isitoshe huyu mdogo wetu tunatumia gharama nyingi kumsomesha kwa kweli hata ile morali ya kujiachia nikiwa dodoma ikapotea maana nilikuwa na mawazo mengi kichwani moja wapo ni kuwa huwenda kuna kibaba cha mtu kimemsafirisha mkoani ukitegemea wiki ilikuwa na likizo ndefu kidogo takribani siku nne kupisha sikukuu ya pasaka.
Hivyo nimekuja humu ndani kupata ukweli, hasa ukitegemea JF imesheheni watu wa aina mbalimbali na katika nyaja tofouti tofouti huwenda wakawa na ABC,s kuhusiana na hiki chuo ni kweli hawa wanafunzi wa mipango wameanza field katikati ya masomo, ama huyu mdogo wetu ameamua kunidanganya kuficha uchafu anaofanya pindi akiwa chuo kwa kutoroka vipindi kwenda kufanya maovu mikoani huko.
Naomba nipate ukweli kama kweli wameanza ratiba ama laah.
Umeongea kwa busara sana mkuu. GOD bless.Mtumie sms kuwa afanye mambo yake ila kikubwa ajitahidi kusoma, mwambie wewe kama mzazi unamdai matokeo na una haki ya kuyapata.
Mwanachuo tayari ni mtu mzima, kuna vitu huwezi kuvicontrol, ibaki tu kumpa ushauri kama dada.