Msaada, Nahitaji ardhi Songea ambayo haijawahi limwa

hol

Member
Joined
Dec 7, 2024
Posts
8
Reaction score
10
Samahani wadau ninasikia songea Kuna ardhi haijawahi limwa na inauzwa kama Kuna mtu ana uwezo wa kunikonect naomba anisaidie nipo iringa.
 
Ndiyo, unaweza kupata kule Madaba kijiji cha Lutukira kitongoji cha Nakagange. Mimi nimefika Nakagange, changamoto ya Nakagange kwenye ardhi ile ni visiki. Visiki katika ardhi ile ni vingi sana na vya miti migumu. Maji yapo na kunafikika, pia kuna bonde kubwa sana la Mpunga.
 
Asante naomba unisaidie contact zako
 
Samahani wadau ninasikia songea Kuna ardhi haijawahi limwa na inauzwa kama Kuna mtu ana uwezo wa kunikonect naomba anisaidie nipo iringa.
Niko songea mkuu ni mkulima mdogo lakin mashamba nayaelewa yanakopatkana kwa wing unajchagulia Bei ni lak had lak na nusu, ardh inafaa kwa kilimo Cha mpunga, mahnd, soya, karanga, jugu, Nazi, korosho nk! Npgie 0682475620
 
Attachments

  • IMG_20241129_113310_324.jpg
    518.9 KB · Views: 10
huwezi ng'oa visiki?
 
Niko songea mkuu ni mkulima mdogo lakin mashamba nayaelewa yanakopatkana kwa wing unajchagulia Bei ni lak had lak na nusu, ardh inafaa kwa kilimo Cha mpunga, mahnd, soya, karanga, jugu, Nazi, korosho nk! Npgie 0682475620
mkuu huku ni songea maeneo gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…