Msaada: Nahitaji Daktari yeyote anisaidie

Msaada: Nahitaji Daktari yeyote anisaidie

Asanteni kwa ushauri ila sielewi hiyo Azuma ina saidia tatizo gani? bado na hitaji sada mkubwa wa doctor
Madokta wapo wengi, wewe eleza tatizo lako, dokta mwenye utaalamu na tatizo lako linapoangukia atakujibu, pia wengine wanaweza kuwa na ushauri na pengine waliowahi kupitia unayopitia watakiambia pa kuanzia.
 
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Inakua ngumu kidogo kuelezea tatizo hapa ningependelea kwa private zaidi kama itawezekana ninashukuru kwa ushauri wako pia
 
Madokta wapo wengi wa kiroho upande wa Giza au Nuru,au dokta wa mapenzi,au wa dokta wa darasani au wa tiba za kizungu, kiswahili,nk.
Shida yako ndio uamua uingie chumba na ngapi ili umuone dokta yupi.
Ni DR wa tiba za kizungu
 
Back
Top Bottom