Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Nipo hapa unaweza kuniulizaNimepatwa na mtihani mmoja mzito na sijui kinachoendelea kwa sasa naomba kama kuna doctor humu asiye judge makosa ya mtu nimuelezee anipatie ushauri kwa sababu ni jambo gumu kidogo kulielezea ana kwa ana.