Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 949
- 2,038
Hii dunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani nita fanya hivyo na nita leta mrejesho asante sanaKunywa maji ya vuguvugu kila asubuhi unapoamka
Kunywa maji kila unapotoka haja ndogo
Kunywa maji ya vuguvugu baada ya kila mlo badala ya maji baridi
Kula matunda kila siku kabla ya mlo wowote
Fanya zoezi la kukutoa jasho, hata kutembea, kila siku
Pumzika muda wa kutosha usiopungua saa 8 kila siku
Usile chakula baada ya saa 2 usiku.
MWISHO
Funga siku tatu, mara baada ya kusoma ushauri huu, kwa kula matunda na kunywa maji tu
Shukran kama una medical knowledge ningependa uje privateMficha maradhi kifo humuumbua wewe sema tatizo usaidiwe
Niambie una shida gani nitakusaidiaNimepatwa na mtihani mmoja mzito na sijui kinachoendelea kwa sasa naomba kama kuna doctor humu asiye judge makosa ya mtu nimuelezee anipatie ushauri kwa sababu ni jambo gumu kidogo kulielezea ana kwa ana.
shukran sanaNiambie una shida gani nitakusaidia
Wacha maneno mengi kijana, kuna memba alisha wahi kuutupia hapa na kichwa kimejaa vipele tena alikua hajanyoa na msaada alipata....☹️Inakua ngumu kidogo kuelezea tatizo hapa ningependelea kwa private zaidi kama itawezekana ninashukuru kwa ushauri wako pia
Mimi ni daktari wa magonjwa ya ndani intern -Njoo DMAsanteni kwa ushauri ila sielewi hiyo Azuma ina saidia tatizo gani? bado na hitaji sada mkubwa wa doctor
Mimi ni daktari wa magonjwa ya ndani intern -Njoo DM
Kuna masuala kidogo ni magumu kuyaongelea kwnye public unajuaWacha maneno mengi kijana, kuna memba alisha wahi kuutupia hapa na kichwa kimejaa vipele tena alikua hajanyoa na msaada alipata....☹️
Kwani ukibinya kwambele inatoa kama maziwa mazito??Kuna masuala kidogo ni magumu kuyaongelea kwnye public unajua
Hahahaha hapana bwanaKwani ukibinya kwambele inatoa kama maziwa mazito??
Aisee , nime tumia ila kunajambo kuhsuu PEEP sija lielewa, njoo private kama hautajaliTumia pep mkuu
Kama unapendelea private...basi nedna hospital ukaonane nao ana kwa ana na hyo ndo privacy nzur zaidiInakua ngumu kidogo kuelezea tatizo hapa ningependelea kwa private zaidi kama itawezekana ninashukuru kwa ushauri wako pia
Ushauri mzuri sanaKama unapendelea private...basi nedna hospital ukaonane nao ana kwa ana na hyo ndo privacy nzur zaidi
Nimekutumia sms private naomba msaada wakoKaribu.