Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,678
- 1,617
ingia tawi lolote la nmbHabari wakuu,mimi ni shabiki mpya kabisa wa Yanga,nahitaji msaada namna ya kupata kadi ya shabiki au mwanachama ya NMB.
Naomba kueleweshwa utofauti wa kadi hizi mbili pamoja na gharama zake na gharama za ada ya mwezi/mwaka.
Natanguliza shukurani kwa wote mtakaonisaidia maana nahitaji kuichangia timu yangu ninaipenda sana,naombeni msaada kabla sijaelekea benki wala tawi la Yanga.Niko Kahama Shinyanya.
Vp siwez kupata muongozo kabla ya kwenda?ingia tawi lolote la nmb
Mkuu tunaomba mrejesho, ulifanikiwa?Habari wakuu, mimi ni shabiki mpya kabisa wa Yanga,nahitaji msaada namna ya kupata kadi ya shabiki au mwanachama ya NMB.
Naomba kueleweshwa utofauti wa kadi hizi mbili pamoja na gharama zake na gharama za ada ya mwezi/mwaka.
Natanguliza shukurani kwa wote mtakaonisaidia maana nahitaji kuichangia timu yangu ninaipenda sana, naombeni msaada kabla sijaelekea benki wala tawi la Yanga. Niko Kahama Shinyanya.